Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
Machifu na si walikua wanaogopa ngozi nyeupe na pia walikua wanufaika wa biashara lakini pia km hao waarabu na wazungu wasinhekuja kufanya biashara hiyo ya utumwa hao machifu wangemuuza nani chanzo ni hao hao tu mkuu
Sawa machifu ndy waliuza babu zetu weusi kwenda huko walikoenda.Wengine America kaskazini na wengine kusini kulima miwa,wengine Europe especially ufaransa na wengine walibaki kuwa watumwa na vijakazi ktk nchi za kiarabu km Yemen na OmanHao waarabu walikuja tu from nowhere wakaanza kubeba watu? Machifu ndo waliuza watu wao...kama ambavyo tunaendelea kuuzwa Leo na viongozi wetu Kwa hizi ngozi nyeupe.
Huo sasa ndy utumwa wenyewe..Yani unaenda kuhiji kisa Tu ni amri ktk dini yako lkn moyoni hupendi kwenda huko hijjarejea matukio ya LIBYA
walipokamata na kuwatesa waafrika waliokuwa wanataka kuenda ulaya.
Mimi saudia Kama isingekuwa amri ya Mungu nisingekwenda.
ila kwa kuwa ni amri acha tu niende.ila Hawa jamaa sio kabisa
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika
Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni wabaguzi wa RANGI.
Baadhi ya Comments nimekutananazo katika mtandao wa INSTAGRAM kuhusu timu ama matokeo ya mpira kwa tiketi ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Waarabu na waafrika ambao tukonao bara moja, maneno makali sana ya kibaguzi yakitolewa na watu weusi kwa waarabu,, hii sio poa tukemee ubaguzi, udini na ukabila ndugu zangu.
Baadhi ya comments zikiwalenga waarab
View attachment 2169071View attachment 2169072View attachment 2169073View attachment 2169074View attachment 2169075View attachment 2169076View attachment 2169077View attachment 2169078View attachment 2169079View attachment 2169080View attachment 2169081View attachment 2169082View attachment 2169083View attachment 2169084View attachment 2169085View attachment 2169086View attachment 2169087View attachment 2169088View attachment 2169089View attachment 2169091View attachment 2169092View attachment 2169093View attachment 2169094View attachment 2169095View attachment 2169096View attachment 2169097View attachment 2169098View attachment 2169099
View attachment 2169070
Huo sasa ndy utumwa wenyewe..Yani unaenda kuhiji kisa Tu ni amri ktk dini yako lkn moyoni hupendi kwenda huko hijja
Kwa usiende kuhiji kwenye kaburi la babu na Bibi zako kule kijijini mkuu?..achana na waarabu Kaka
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Ubaguzi sio mzuri ila wale waarabu Koko ni wavamizi wa bara la Afrika na waliwahujumu wenyeji waliokua blacks maeneo ya Kule Juu na kuwafanya wafanye movement kwenda west kama Nigeria & co wale wa Misri wakaenda Mali ambao ndio Dogon tribe
Wengine ndio Bantu waliokuja huku down east Afrika,
Siwakubali kabisa Kwa mfano wale wa Misri ningekua na power ningewatimua Wote Ile ardhi ya Nile valley ibakie kama makumbusho ya mababu zetu
Shabhash!
Na midevu umefuga?Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Mkuu muulize kwani kombe litachukuliwa na wote.Hivyo hivyoo.haina shida. Hata wakitolewa bila kupata goli na point hata Moja kikubwa wameenda Qatar [emoji16] waraabu Fulani wamebaki
Inawezekana wewe mwenyewe muarabu, au muarabu mweusi hebu tuma picha zako tuoneAcha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Umesahau hiyo Dini imeletwa Na Hao Hao waarabu unaowachukia....Hapana.
Kuna saudia Arabia alafu kuna makka na madina.
Maka na madina ni miji mitukufu katika dini yangu
Na nguzo za UISLAM NI 5.
Ya mwisho KWENDA KUHIJI MAKA KWA MWENYE UWEZO.
ili uwe Muslim kamili inakubidi utimize hizo nguzo 5.
Miarabu ndio mibaguzi namba moja. Tunachofanya sisi ni kulipa kisasi.Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa