Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Machifu na si walikua wanaogopa ngozi nyeupe na pia walikua wanufaika wa biashara lakini pia km hao waarabu na wazungu wasinhekuja kufanya biashara hiyo ya utumwa hao machifu wangemuuza nani chanzo ni hao hao tu mkuu
2.gif

Are you serious??

Imagine wewe ndo umepata uongozi wa nchi!!!!! Hopeless!
 
We jamaa bila Shaka ni mwarabu na hapa unawatetea waarabu wenzio.Hao jamaa ni wabaguzi kupindukia,hujakaa nao pekeyako,na hawapendi mtu mweusi hata kidogo.Tetea watu wengine Ila siyo waarabu Mzee

Wako wapi wale watu weusi walioenda nchi za kiarabu enzi za utumwa? Mbona America wapo,France pia wapo?

Jibu walikhanisiwa na wengine kuuawa,waarabu hawakutaka kizazi Chao kichafuliwe na waafrka weusi

Si unaona pia ni Jinsi gani ilivyo ngumu Kwa mtu mweusi kumuoa mwarabu Koko wa zenji,figisu kibao..jamii ya waarabu ni wabaguzi kupindukia

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hao waarabu walikuja tu from nowhere wakaanza kubeba watu? Machifu ndo waliuza watu wao...kama ambavyo tunaendelea kuuzwa Leo na viongozi wetu Kwa hizi ngozi nyeupe.
Sawa machifu ndy waliuza babu zetu weusi kwenda huko walikoenda.Wengine America kaskazini na wengine kusini kulima miwa,wengine Europe especially ufaransa na wengine walibaki kuwa watumwa na vijakazi ktk nchi za kiarabu km Yemen na Oman

Swali langu kwako mwarabu wa Tz;kiko wapi kizazi cha mwendelezo cha watu weusi ktk hizo nchi za kiarabu ambazo babu zetu waliuzwa?
Tunawaona watu weusi Jamaica,Brazil, Peru, Caribbean, US, France nk..wako wapi watu weusi ktk nchi za kiarabu ambao unasema machifu waliwauza?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
rejea matukio ya LIBYA
walipokamata na kuwatesa waafrika waliokuwa wanataka kuenda ulaya.
Mimi saudia Kama isingekuwa amri ya Mungu nisingekwenda.
ila kwa kuwa ni amri acha tu niende.ila Hawa jamaa sio kabisa
Huo sasa ndy utumwa wenyewe..Yani unaenda kuhiji kisa Tu ni amri ktk dini yako lkn moyoni hupendi kwenda huko hijja

Kwa usiende kuhiji kwenye kaburi la babu na Bibi zako kule kijijini mkuu?..achana na waarabu Kaka

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika

Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni wabaguzi wa RANGI.

Baadhi ya Comments nimekutananazo katika mtandao wa INSTAGRAM kuhusu timu ama matokeo ya mpira kwa tiketi ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Waarabu na waafrika ambao tukonao bara moja, maneno makali sana ya kibaguzi yakitolewa na watu weusi kwa waarabu,, hii sio poa tukemee ubaguzi, udini na ukabila ndugu zangu.

Baadhi ya comments zikiwalenga waarab
View attachment 2169071View attachment 2169072View attachment 2169073View attachment 2169074View attachment 2169075View attachment 2169076View attachment 2169077View attachment 2169078View attachment 2169079View attachment 2169080View attachment 2169081View attachment 2169082View attachment 2169083View attachment 2169084View attachment 2169085View attachment 2169086View attachment 2169087View attachment 2169088View attachment 2169089View attachment 2169091View attachment 2169092View attachment 2169093View attachment 2169094View attachment 2169095View attachment 2169096View attachment 2169097View attachment 2169098View attachment 2169099

View attachment 2169070

Huujui ubaguzi wa waarabu dhidi ya weusi wewe piga kimya
 
Hapana.
Kuna saudia Arabia alafu kuna makka na madina.
Maka na madina ni miji mitukufu katika dini yangu
Na nguzo za UISLAM NI 5.
Ya mwisho KWENDA KUHIJI MAKA KWA MWENYE UWEZO.
ili uwe Muslim kamili inakubidi utimize hizo nguzo 5.
Huo sasa ndy utumwa wenyewe..Yani unaenda kuhiji kisa Tu ni amri ktk dini yako lkn moyoni hupendi kwenda huko hijja

Kwa usiende kuhiji kwenye kaburi la babu na Bibi zako kule kijijini mkuu?..achana na waarabu Kaka

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wangese washaanza kuhusisha uzi huu na mambo ya dini na kuanza kutoa kejeli ,kuna wengine kwenye uzi huu wamecomment "dini ya wavaa kobazi " na mambo mengine ya kuwaki.
 
hata ungekuwa wewe mwenzio mweusi kama mkaa anatoka mweupe anavuka utafurahi kweli.

kuna raha yake kuona mweusi mwenzio anavyopata mafanikio mkuu bila shaka wewe rangi za kina mo dewj,GSM,bhakresa.
 
Tena Kwa kuongezea warabu wanawatupa sana dada zetu kweny magorofa huko arabuni ,wanawatoa Figo ,wanawachoma na pasi, afu mtu sis kutowashangilia warabu mtu anajifanya anauchungu sana na warabu '''
 
Ubaguzi sio mzuri ila wale waarabu Koko ni wavamizi wa bara la Afrika na waliwahujumu wenyeji waliokua blacks maeneo ya Kule Juu na kuwafanya wafanye movement kwenda west kama Nigeria & co wale wa Misri wakaenda Mali ambao ndio Dogon tribe
Wengine ndio Bantu waliokuja huku down east Afrika,

Siwakubali kabisa Kwa mfano wale wa Misri ningekua na power ningewatimua Wote Ile ardhi ya Nile valley ibakie kama makumbusho ya mababu zetu

Shabhash!

Misri?? Amin, Amin nakwambia kabla hawajazaliwa mababu wao walikuepo
 
Kwasasa hakuna tofauti ya kushinda JF na FB kwakuwa hata usipoingia FB ukiwa JF bado utaletewa stori zinazoendelea FB
 
Hivyo hivyoo.haina shida. Hata wakitolewa bila kupata goli na point hata Moja kikubwa wameenda Qatar [emoji16] waraabu Fulani wamebaki
Mkuu muulize kwani kombe litachukuliwa na wote.
 
Hao waarabu ndo walikuja kigoma Na Tabora kuchukua mababu zetu Na kuwasafirisha Kwa mguu kama ng'ombe Na minyororo mpaka bagamoyo Na kilwa ili kuwauza?
Leo Sisi ndiyo waasisi wa ubaguzi?
 
Nani kakwambia waarabu ni ndugu zako mzee, Ubaguzi katika historia waliuanza wao hadi sasa ni wabaguzi wakubwa zaidi miongoni mwa binadamu wote mbele ya watu weusi, Qngalia wanachofanywa dada zetu wanaoenda kutafuta vibarua Nchi za arabuni.
 
Hapana.
Kuna saudia Arabia alafu kuna makka na madina.
Maka na madina ni miji mitukufu katika dini yangu
Na nguzo za UISLAM NI 5.
Ya mwisho KWENDA KUHIJI MAKA KWA MWENYE UWEZO.
ili uwe Muslim kamili inakubidi utimize hizo nguzo 5.
Umesahau hiyo Dini imeletwa Na Hao Hao waarabu unaowachukia....
Mtume mwenyewe alihusika Na biashara ya watumwa Yani aliuza/kununua Na kumiliki watumwa.

Tena mtumwa mweusi hakuwa Na thamani...mtume aliuza watumwa weusi wawili ili anunue mweupe mmoja
 
Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Miarabu ndio mibaguzi namba moja. Tunachofanya sisi ni kulipa kisasi.
 
Back
Top Bottom