Waafrika na ubaguzi dhidi ya Waarabu. Je, hii ni laana?

Umesahau hiyo Dini imeletwa Na Hao Hao waarabu unaowachukia....
Mtume mwenyewe alihusika Na biashara ya watumwa Yani aliuza/kununua Na kumiliki watumwa.

Tena mtumwa mweusi hakuwa Na thamani...mtume aliuza watumwa weusi wawili ili anunue mweupe mmoja
Hehehee kweli binadamu ni wapumbavu sana hasa sisi wenye ngozi nyeusi, Mtu anachukia Bomu sababu linalipua, ila anamsifu na kumtii aliyelirusha.
 
Acha uongo, unadhani wengine hatuishi na waarabu tukajionea!! Baadhi ya nchi za kiarabu nimevisit pia sijakutana na upumbafu wa hivi. So huwezi nidanganya, wadanganye wasiojielewa
Taja hizo inchi za kiarabu ulizoenda na ww ni mweusi na usibaguliwe, labda Kama na ww ni muarabu unataka huruma sio Mana hapa bongo tu kuoa kwenye familia ya waarabu koko tu shida hata Kama ni vilamba sukari ila bado wanajiona wao Bora kuliko weusi
 
It's black continent for black people usomi unakusumbua sana mpaka unaona hao viumbe ni wenzako

Muafrika no mweusi sio mweupe Kama unavyozadhani

Inaonekana we ni msosi wao
 
Morocco
Libya
Tunisia
Algeria
Egypt
Wote wanaongea Arabic kama lugha mama.

Hizi ni inchi ambazo zipo Africa,lakini watu wake hawajihesabu kama ni waafrika.

Ukibahatika kukutana nao uarabuni,

Yeye sio muafrica,
Yeye ni muarabu.

Akili zingine bwana mwisho unaishia kucheka tu 🤣 unataka wajihesabu wao ni waafrika ilhali wao ni waarabu!! Fikiri kabla ya kukomenti.
 
Hao Waarabu wenyewe hawakubali kuitwa waafrika, Afrika ni Rangi Nyeusi

Unalazimisha wajiite waafrika ilhali ni waarabu! Jamaica ambao ni weusi wanaishi Amerika ya kaskazini, na hao pia wajikubali kuwa ni wazungu? Hamuna hoja za kubishana na ukweli bwana, acha ubaguzi na roho mbaya.
 
Mkuu, na wewe unaunga mkono hoja?
siungi mkono hoja,ila nataka abalance story. Pande zote zinapaswa kukemewa. Waarabu ni wabaguzi . Achana na wale wa mataifa ya mbali,hata hawa tuliona nao. Nimekaa na ndugu zako pale Shelui nawajua vizuri sana.
 
Hii kitu inaniumiza sana mkuu, na kila nikijaribu ku-comment kwenye baadhi ya mitandao naishia kuoga matusi tu.
 
Unalazimisha wajiite waafrika ilhali ni waarabu! Jamaica ambao ni weusi wanaishi Amerika ya kaskazini, na hao pia wajikubali kuwa ni wazungu? Hamuna hoja za kubishana na ukweli bwana, acha ubaguzi na roho mbaya.
Evidence mojawapo ni hii kampeni ya black lives matter
Unafikiri kwa Nini ipo
 
Kwa hiyo unataka kusema hata kwa Shelui uliona huo ubaguzi?
Labda kama uliisha baada ya mimi kuondoka. Utangamano wetu na waarabu ulikuwa wa kutumikishwa zaidi (kuajiriwa kuuza maduka na kazi za ndani), kwenye ndoa na maisha ya kawaida ulikuwepo kwa wao na waarabu koko.
 
Ukute limtoa mada linaitwa Abdullah
Basi linajiona li arab wakati jeusi tii kama sisi Wenzie.

Kuna watu ubongo wao ni wa kuunyofoa tuweke mawe tu
 
Kila mtu ashinde mechi zake, wao wenyewe ukifuatilia kwao wapo wanaobagua watu weusi , kwa hiyo hata watu weusi wakiwabagua hamna shida ...ndio dunia ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…