Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

Indeed πŸ₯°
 
Acha kujidanganya uzuri hautenhenezwi demu mzuri hata akiwa mdogo anaonekana achana na mambo ya kujiremba n,k mtu huekeweki mbele wapi nyuma wapi halafu unataka tuongozane hilo kwangu hapana nisiwe mnafki
 
Oa "attractiveness" uone msala wake humo ndani. Mungu akikupa hiki anakunyima kile, wanawake wazuri sana wa sura wamenyimwa vingine vingi ikiwemo kuishi na mtu mmoja tu.
Hawajanyimwa vingine, bali hawazingatii umuhimu wa tabia "njema" kwakuamini "uzuri/mvuto" vinatosha.
NB - MLETA MADA APUUZWE.
 
Kwakweli Africa kama hii ndio design ya watu tuliopo basi tutaendelea kuwa masikini daima.



Very stupid black skin.
 
Hiyo ni nature.
Hata Wanyama kigezo kikubwa cha uzao ni Nguvu, Akili na Uzuri(Mvuto) hivyo ni vigezo vya Watu au jamii kubwa tangu zamani.

Hata Biblia Manabii wote kigezo chako kikubwa kilikuwa ni Uzuri wa mwonekano kisha tabia.

Kwenye uislamu (jamii za kiarabu na Mashariki ya kati) huwezi tenganisha Ndoa na suala la uzuri wa muolewaji.

Hapa wengi watakuponda lakini ukweli umeusema
 
Hakuna mtu mbaya, mwanamke akiwa anakula vizuri ,anapata chai safi aubuhi,msosi mzuri mchana na jioni asifanye kazi ngumu ,kwenye moto au kwenye jua ,awe stress free, awe anajua kuoga na kupiga pamba vizuri ,awe na kiasi kwa kila jambo kama yupo normal kimwili,kiroho na kiakili lazima atamvutia mwanaume yeyote.
 
Umemaliza...
Thread ifungwe hahaa
 
Duh hivi mimi labda ndio naona vibaya waafrica sio attractive kina nani hao walio attractive zaidi sasa yaani wasomali, Rwandan, Ethiopian south african tanzanian sio attractive wewe unaumwa..!
Huyu mleta mada hajawahi kuona pisi za kihabeshi watoto wa ki ethiopia...

Nadhani akiwaona ata badili mtazamo wake
 
Unawaangalia huku ukiwa umetupia kitu kichwani aisee Nchi hii ina pisi ukiiangalia lainii kama ukiibonyeza inatoboka shida mpo maporini huko unataka kuleta majibu ya Africa nzima...
Swazi,Botswana,Tanzania,Rwanda na Ethiopia wana balaa mabinti walio katika ukanda huo au shuka hapo Mbulu uone watoto walivyo warembo kama wa kutengenezwa vile...
 
That's animal behavior. Kama ulisoma hii course hushangai, all animals are attracted to more beautiful partners. Men must be masculine, powerful and aggressive ndio maana wanyama dume wengi wana maumbo makubwa kuliko majike with an exception of few animals mfano fisi.
Most male animals are more attractive than female counterparts, na ni pamoja na ndege, ukiona ndege mzuri sana kwa rangi jua hilo ni dume! Then angalia mfano wa simba dume linavutia kuliko jike, ukute limekomaa vizuri with black mane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…