Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

Hizo mnazoita pisi ,ukishakuwa na mahusiano naye utamuona wa kawaida sana. Ukivutiwa na uzuri au uhandsome wa mtu bila kigezo kingine, umekwisha.
Kitu kizuri hakibadiliki kwa wewe kukiona cha kawaida uzuri wake unabaki pale pale...
 
Poor you!

Keyboard inaweza kumtia mtu ujasiri wa kutukana bara zima, Kwahiyo tukichaguana wazuri tu (sijui kwa mujibu wa nani) wabaya (kwa mujibu wa mleta mada) wauwawe au? 🀣🀣

Naona kuna watu ukoo mzima mngeisha πŸ˜‚

Dunia imewamezesha beauty standards, imewaambiwa kizuri kiko hivi na hivi na hiki ni kibaya, media zimewafanyia mind controlling na nyie mmejaa mnawaona mashangazi zenu na wajomba zenu wabaya haaaaaa!
 
Mwafrika is not a complete human being.

Mvuto na kuvutia ni mambo ma will tofauti

Binadamu mvuto wake upo ndani na sio nje

Kitu pekee kinachomfanya MTU mweusi kushindwa kuendelea ni kupambama kujibadilisha Kwa nje na sio Kwa ndani.

Kupitia maisha unayoishi ugumu wa kukosa mahitaji ya msingi kunaweza kukufanya kuwa na mwonekano mbaya ukawa hauvutii Ila bado ukaendelea kuwa na mvuto , maana mvuto husomeka ndani ya MTU na sio nje.
 
Bangosha wanachagua vyeupe dawa, wamefikia wapi kwenye kutengeneza mvuto?
 
Shikamoo mdogo wanguπŸ˜‚
 
"Beauty is in the eye of the beholder
And I sure know King Kong's wife is not an idiot"

- Rayvon & Shaggy "Big Up"


View: https://youtu.be/ML5GPHfGX7M?si=-r9ukLI2s3RY-09t
 
Kwa hayo mashoga ya Ulaya ndio yanavutia? Hivi uko serious au unatania?
 
Duh hivi mimi labda ndio naona vibaya waafrica sio attractive kina nani hao walio attractive zaidi sasa yaani wasomali, Rwandan, Ethiopian south african tanzanian sio attractive wewe unaumwa..!
Katika watu ambao sio attractive ni wazungu, yani unaweza kuta manzi ni tall fulani and flat, yani shape no. moja Luler kabisa.
 
Kwani wewe mama ako alikuwa attractive au babako nae aliltewa dunga embe la mtaani tu hakwenda kuchagua kama unavyosema

Kama hujaaandika muangalie mamako ni attractive kwanza asije kuwa nae alikuwa dunga embe la mtaani kwao enzi hizo
 
Vijana vigezo muhimu hivi hapa:
1. Attractiveness
2. Classy Family ( Familia isiwe ya kimasikini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…