Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

Wasenche sana hao Wahasibu wa Private Sector tena wengi Wahasibu wanakua Wanawake na boss ukikuta ni Mwanamke subiri utalipwa tarehe 80
 
Well Noted Mkuu,
Halafu bora ziwepo changamoto nyingine lakini sio kujaza mindugu halafu inapenda kuabudiwa, hovyo sana.
All in all mapambano yanaendelea
 
Bora ukomae hukohuko sekta binafsi maana huku nje ukisema uanzishe biashara ndo umeisha kabisa

All in All, Afya ya Akili ni muhimu tafta mtu wa kubadilishana nae mawazo kumjuza changamoto unaznim

Umesikika vyema Mkubwa
 
Ni sahihi Mkuu, Businessmen are there to make profit out of you

Wanamsemo wao "punda afe mzigo ufike"

Wanafanyisha kazi ila maslahi ni duni lakini pia wanachelewesha sana Mishahara ya Wafanyakazi wao.

Binafsi nashukuru wale Jamaa walinipenda Kwa sababu hizo nilizosema.

Waliniudhi kitu kimoja, jamaa walikuwa ni washirikina mno.

Kabla hawajakuajiri, wanaangalia kwanza nyota yako.

Siwezi kuandika yote hapa, ila ile Kampuni ilinipa maisha kiaina
 
Aiseee, hatari
Kwahiyo nyota Yako iling'ara sana MkuuπŸ‘πŸ‘
 
Nenda kwa Mo dewji uone maisha ya watu wa sales...utawaonea huruma
Hawa wanatakiwa wajiajiri, wawe na 'platform' yao, wapate kamisheni maisha yaende.
Wanatakiwa wajue, wao ndio chanzo cha mabilioni kuingia kwenye kampuni, ndio maana hii kazi kwa huko duniani ndio kazi mojawapo inayoonekana wanalipwa vizuri.​
 
Hawa wanatakiwa wajiajiri, wawe na 'platform' yao, wapate kamisheni maisha yaende.
Wanatakiwa wajue, wao ndio chanzo cha mabilioni kuingia kwenye kampuni, ndio maana hii kazi kwa huko duniani ndio kazi mojawapo inayoonekana wanalipwa vizuri.​
Mkuu nimesubiria ushauri wako eti
 
Ndio maisha uliyochagua, au boss kakushikia mtutu "hakuna kuacha kazi"

Funguka ni wapi huko msipolipwa mishahara kwa wakati!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…