Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

Kaka tunazungumzia sekta binafsi changa sasa hadi unakopeshwa range na nyumba hiyo kampuni ni kubwa sana..
 
Jamani wenzetu hizo secta binafsi mnazoziongelea ni za wapi?
 
Nimesoma waasibu wa sekta binafsi ndio tunachelewesha mishahara. sio kweli tuna fata maelekezo toka juu. Na hii ni siri ya kampuni hatuwezi kuisema. Subirini mwezi mrefu huu kesho mtacheka.
 
Nimesoma waasibu wa sekta binafsi ndio tunachelewesha mishahara. sio kweli tuna fata maelekezo toka juu. Na hii ni siri ya kampuni hatuwezi kuisema. Subirini mwezi mrefu huu kesho mtacheka.
Ndio, umezungumza haswaaa! Hadi sisi ofisini Boss akija anasema oooh kwani Finance hawajafanya mambo, basi si tunabaki tunajua ni uzembe WA finance department
 
Wahindi watawaua maana ndo waajiri wenu wakubwa
 
Binafsi nafanya kazi septa binafs. Naingia saa 2 kutoka panapo majaaliwa.
Mshahara napokea mapema sana lkn ni mdogo sn.
Sihaba sisi huwa tunakuwa na sessions za afya mara kwa mara ikiwemo hio ya afya ya akili n k
 
Hilo sindio kubwa Mkuu, au hujaona hapo , bango linajieleza, Maokoto ndio muhimu kwasababu hata kazini hujaenda kutalii umeenda kutafuta Maokoto

"Nahisi Kuna UMUHIMU Mkubwa sana wa kuhamasisha Afya ya akili makazini especially SEKTA BINAFS."

Kuna umuhimu wa kuhamasisha ulipaji mishahara inayokidhi na kwa wakati. This has nothing to do with afya ya akili. Sijui kama unaelewa maana ya afya ya akili?

Nikuulize, wakihamasisha afya ya akili kazini kwenu kwa kuleta wataalamu wa afya ya akili na vifaa tiba vyake bila kugusa changamoto ya mishahara itamaliza tatizo?
 
Wewe tutakesha kukuelewesha/ kueleweshana
 
Safi sn. Na bahati unayo na Mungu Kakufungulia pia.
Kuna watu wapo hardworking lkn hawajabahatika. Of course kila mmoja na wakati wake Mungu Alompangia.
Pia hongera kwa ujasiri wa kuacha kazi na kukomaa na mambo yako.
Sio wote wenye huo uthubutu
 

Attachments

  • f5b962bbdef44b9f8a44158926a0f7a3.jpg
    29.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…