BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Nimewahi kufanya kazi na Wachina tu na ndio watu ninao wakubari kwenye suala zima la fair payment's hawana longolongo nyingi Wachina wote nawapigia SaluteHujawahi kufanya kazi na Wahindi Mkuu?
Wanahuo Ujinga sana
Visababishi vya ukosefu WA Afya ya akili kazini ni vipi??? Ukipata jibu utaelewa, usipoelewa unakaza fuvu tuJibu unachotaka ni mishahara au msaada wa afya ya akili? Ukipata jibu utajua tofauti yake.
Hahaha.................hayo mambo yapo sana Mkuu.Aiseee, hatari
Kwahiyo nyota Yako iling'ara sana Mkuu👏👏
Hivi hizo mnafanya sekta binafsi zipi?. Nimefanya kazi sekta binafsi sehemu tatu tofauti, sehem yakwanza mshahara ulikua 900K, mshahara ulikua tare 29 mpaka tare 2 haikuwah pita hapo, nikaenda sehemu nyingine mshahara haujawah pita tare 28. Na sehem ya mwisho nihapa nilipo mshahara ni tare 23. Yaan ikipita hio siku labda iangukie weekend. Na hapa sintokuja kuondoka labda nifukuzwe. Vinginevyo hata ukitriple salary yangu uniondoe hapa siwezi kuondoka.Ndugu yangu, nakuunga mkono kabisa, lakini tunarudi palepale, ni asilimia chache sana ambazo utakuta sekta binafsi wanatambua mchango wakooo, we shukuru ulipata sehemu ya watu wanao value kile unafanya
Kuna sekta Ndugu yangu heeeeee,
SEMA kikubwa ni kwamba tutajenhewa uwezo Mkubwa, utakuwa multitask mzuri tu, na ukufanikiwa kutoka hapo ukapanda juu lazima utakuwa na uwezo Mkubwa.
Shida ni kwamba tunapotafuta KAZI hatutafuti tu kujengewa uwezo NO. tunatafuta KAZI kupata pesa ili uwe imara kujijengea uwezo na uwe able kufanya KAZI zako.
Sasa unafanya Kazi, no kupumzika, mshahara utaupata tarehe 39 mpaka 40
Hivi unajenga Nini hapo kama sio kupambana kuondoka.
Kati ya SEKTA binafsi, 90% ni wanoko 10% ndio wanajua Nini wafanyakazi wanahitaji
Umemaliza Kila kitu Mkuu, naona Kwa point hizi tufunge Mjadalainategemea na sehem na sehem. sekta binafs ni kila pahala ukiachana na serikal kwa maana ya serikal taasis na mashirka ya umma. aliye nje ya hapo ina mana selta binafs kuanzia small scale itinerary mpaka large scale itinerary. sasa ulipaji inategemea na ethics za pahali husika.makampun ukikuta tajir anamuogopq mungu mfaano bakresa uanfikr anapitiliza muda? ndug yang yupo icecrem fumba town wala halalamik. uje kwa kanjibai sasa kwa hio kuna mahal na mahal. .nilifanyaga kwa waisreal flan hiv.pale kila siku mnaandikq mnataka kula nin. catering van ikija ma site unaletelewa ulichoagiza asubh na mapema
mwisho wa mwez katon moja maziwa brookside. sekta binafs ni tajir na anavomhofia mungu kias gan .kama hana hof na mungu bas anaona kudhulum jasho lako sio ishu
Pashikilie sana Mkuu, ndio maana Life haitokaa iwe fair hata siku Moja. Kuna watu wanapitia magumu wewe🙌🙌🙌Hivi hizo mnafanya sekta binafsi zipi?. Nimefanya kazi sekta binafsi sehemu tatu tofauti, sehem yakwanza mshahara ulikua 900K, mshahara ulikua tare 29 mpaka tare 2 haikuwah pita hapo, nikaenda sehemu nyingine mshahara haujawah ulikua tare 28 ikipita siku hio labda iwe weekend. Na sehem ya mwisho nihapa nilipo mshahara ni tare 23. Yaan ikipita hio siku labda iangukie weekend. Na hapa sintokuja kuondoka labda nifukuzwe. Vinginevyo hata ukitriple salary yangu uniondoe hapa siwezi kuondoka.
hata kwa serikal ipo tuzo ya mfanyakaz bora.tatizo white collar job wa corporate mnajionaga sana na kujiona mmmesom sana mnaweza kudeliver na ma innovation kama yote na kudharau wenzen wa umma. sasa sekta ya umma dude kuubwaa ukisema kila mtu apewe double salary haiwezekan ni sytem itakataa.saa nyingine hamkatwi paye .so hata watumish wapo competency vizur tu sio kujiona corporate ndio sana wkat kama kusoma wote tumepiga koz sawa sawa. labda wewe tu unawezeshwa na vi short coursesSio Sekta binafsi wote wanapitia hiyo changamoto.
Naungana na Wewe kwamba Sekta binafsi sio lelemala, you have to work very hard and be creative
Ukiwa hardworking person, unapata treatment tofauti kidogo na utaionjoi kazi za mikono yako
Nimewahi kufanya kazi Sekta binafsi
Muda wa kuripoti ofisini ni saa 2 asubuhi na kutoka na saa 11 Jioni
Nilikuwa nafanya kazi Kwa bidii utasema ile Kampuni ilikuwa ni ya Mzee wangu.
Mwisho wa Mwaka nikapata tuzo ya Mfanyakazi bora na Mishahara miwili at per kama bonus, pia nilipewa tip ya Kulala Holiday inn hotel Siku moja, Christmas ama New Year
Mshahara tulikuwa tunapokea Kila tarehe 30 ya Kila Mwezi isipokuwa Mwezi February ambapo tulipokea 27/28 na hatujawahi kucheleweshewa mshahara hata Kwa Siku Moja.
Mwaka uliofuata wakaniongezea Mshahara.
Kwaajili ya security na Uhakika wa Maisha nikasema Wacha nijikite kwenye shughuli za Kilimo tu, ndiyo nipo huku hadi leo japo wale Jamaa walinifuata mara kadhaa kutaka nirudi kwenye Kampuni yao, wakinijia na ofa ya kudabo mshahara lakini sikurudi
Kufanya kazi Sekta binafsi kunakufanya uwe active sana, na Kwa baadhi ya Field. Unakuwa more competency baada ya miaka kadhaa, maana wale Jamaa wanatoa training nyingi za ndani na nje ya Nchi.
wewe ulifanya kwa kanjibai.na ushkur hujafa mpk saa hizNi sahihi Mkuu, Businessmen are there to make profit out of you
Wanamsemo wao "punda afe mzigo ufike"
Wanafanyisha kazi ila maslahi ni duni lakini pia wanachelewesha sana Mishahara ya Wafanyakazi wao.
Binafsi nashukuru wale Jamaa walinipenda Kwa sababu hizo nilizosema.
Waliniudhi kitu kimoja, jamaa walikuwa ni washirikina mno.
Kabla hawajakuajiri, wanaangalia kwanza nyota yako.
Siwezi kuandika yote hapa, ila ile Kampuni ilinipa maisha kiaina
Nashukuru Mungu Kwa hilo, changamoto ya kuwa hardworking person unakosa muda wa ku-spend na familiaSafi sn. Na bahati unayo na Mungu Kakufungulia pia.
Kuna watu wapo hardworking lkn hawajabahatika. Of course kila mmoja na wakati wake Mungu Alompangia.
Pia hongera kwa ujasiri wa kuacha kazi na kukomaa na mambo yako.
Sio wote wenye huo uthubutu
Nilikuwa sijui kama Wachina wako fair kwenye malipo, maana baadhi ya Watanzania wengi wamekuwa wakiwalalamikia Wahindi na Wachina kwenye malipo kidogo pamoja na kutumikisha muda mrefuNimewahi kufanya kazi na Wachina tu na ndio watu ninao wakubari kwenye suala zima la fair payment's hawana longolongo nyingi Wachina wote nawapigia Salute
Naomba nikupinge kwenye hilihata kwa serikal ipo tuzo ya mfanyakaz bora.tatizo white collar job wa corporate mnajionaga sana na kujiona mmmesom sana mnaweza kudeliver na ma innovation kama yote na kudharau wenzen wa umma. sasa sekta ya umma dude kuubwaa ukisema kila mtu apewe double salary haiwezekan ni sytem itakataa.saa nyingine hamkatwi paye .so hata watumish wapo competency vizur tu sio kujiona corporate ndio sana wkat kama kusoma wote tumepiga koz sawa sawa. labda wewe tu unawezeshwa na vi short courses
Hahaha...............every time God is good 🙏🙏wewe ulifanya kwa kanjibai.na ushkur hujafa mpk saa hiz
Fanya biashara hapa bongo uone changamoto zake. Ikiwa unapata mshahara japo unachelewa siku kadhaa ni bora. Wanaofanya mazingira ya biashara yawe ni changamoto ni hao tulio waajiri na kuwapa majukumu serikalini kama waajiri wa serikali. Hawa ndio wanawatesa watanzania katika idara na wizara zote.Nakumbuka Dec 2021 boss kaenda serengeti na familia yake vacation sisi hatujalipwa Mshahara wa Nov na Dec hata kwenda kula chrismass Moshi huwezi.
Ndio kuacha kazi sikurudi tena Ile Ofisi
Ina maana migodini hamna kitu kampuni za kihasibu pwc huko nako holaa na ofisi zina tazamana na bahari aaaaaaaah bhanaTanzania Kuna sector binafsi kweli zaidi ya makampuni ya simu na utalii ??
sioni kampuni za kuwalipa watu pesa nchi hii zaidi ya hizo!!!
Ni kuegesha tu wakati unasubiri michongo itiki!!
Mi pia asee nilitemana na iyo kaziAcha kazi ili upate kazi ya kutafuta kazi au acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi, komaa na madeni ila malipo tarehe 60 hio ni zaidi ya balaa mimi nilicha siwezi nikafanya miezi 2 nalipwa mshahara wa mwezi uliopita
Mbona kama naijua hii ofisi?Nakumbuka Dec 2021 boss kaenda serengeti na familia yake vacation sisi hatujalipwa Mshahara wa Nov na Dec hata kwenda kula chrismass Moshi huwezi.
Ndio kuacha kazi sikurudi tena Ile Ofisi