Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Mkuu Imani huja Kwa kusikia neno la MUNGU na Hilo neno ndio maarifa yenye ukweli..Maana ukweli unapatikana Kwa kuutafutaKwa nini uhitaji imani ya mambo hayo badala ya maarifa yenye ukweli?
Mungu wa Yesu ndio Mungu wa mtume Muhammad na ndio Mungu wa waislam na jina lake ni Allah
Ila Mungu wa wakristo ni tafauti
Wakristo Wengine Mungu wao Yesu
Wakristo Wengine Wana Mungu 3
Wakristo Wengine Mungu wao ana mtoto anaitwa Yesu
Kwa nini uhitaji imani ya Mungu badala ya uthibitisho wa Mungu?Mkuu Imani huja Kwa kusikia neno la MUNGU
Ukweli una logical consistency.na Hilo neno ndio maarifa yenye ukweli..Maana ukweli unapatikana Kwa kuutafuta
Kwanza, jina Eloi alilolitumia Yesu msalabani si kosa wala kubadilisha jina, bali ni tafsiri ya Eli (קֵאלִי) kwa lahaja ya Kiaramu, lugha aliyotumia Yesu kwa sehemu kubwa ya maisha yake.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu Hiyo hoja ya Golden Gate imewathibitishia wengi imani ya Ukristo kuwa Yesu Kristo ni Mkombozi aliyeamuliwa na Mungu. Kwa kweli, ni ushahidi wa kihistoria na kiroho unaoonyesha kwamba mafundisho ya Yesu hayajazuiliwa wala kubadilika, bali yameendelea kuhimili vizingiti vyote. Badala ya kubadilisha mada, bora ujitathmini na ukubali ukweli unaoonyesha nguvu na uthabiti wa imani ya Kikristo.
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Nioneshe Yehova,, Elohim nk katika majina 99 ya Allah subhana wataalah..Kama huyajui uombe waislam wenzio wakuonyeshe...Au niambie Jina lolote Kati ya Yale 99 ulilowahi libahatisha kwenye bible ukiacha baal...samahani ndugu usipotoshe, Allah ni ismul-jalaal. subhaana maana yake ametakasika bimaana Allah yupo free from any kind of shame na madhaifu halali, hapatwi na njaa, hafi [kama yule wa msalabani], hadhulumu, hapitwi na lolote.
Waandishi wa Biblia wangemjuaje huyo Allah wakati muda walioandika Qurani wala Muhammadi hawakuwepo hapa duniani ?
Uislamu una cheap propaganda sana, nashukuru Yesu kunitoa hukoWaandishi wa Biblia wangemjuaje huyo Allah wakati muda walioandika Qurani wala Muhammadi hawakuwepo hapa duniani ?
Kwa nini Mungu awe na majina 99 yote katika lugha moja huona nalo tatizoAllah subhana wataalah ana majina 99 miongoni mwa hayo majina ni 1.Al Ghaan 2.Al baal 3.Al qabidh....Kama ungekuwa unajua maana ya haya majina ndio ungejua YESU hawezi kumtaja Subhana wataalah hata sekunde moja...Wewe utakuja kumjua mola wako baadae Sana..Kingine Allah ni cheo sio Jina..Jina ni kama subhana wataalah...Ni kama vile useme Rais.
Cc hamis77
Upo sahihi ,kwanza Huwa wanaisoma biblia ili waikosoe ,nakupa Siri Sisi tuliokuwa huko ,Huwa tulikuwa tunakutana na ukweli unakuchoma kabisaKuwaelimisha Waislam inabid uende nao taratibu na maswali mepesi mepesi na kuna sehem wataona wenyewe jinsi gan Uslam ulivyosetiwa.
Uislam ni dini iliyoundwa kijanja kijanja. Evidence nying ziko na wanazijua sema kwasababu ya Iman wanashupaza shingo
Hahahahahahahaha😂😂😂Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Biblia haijabadilishwa hata kidogo, na tuna maelfu ya manuscript za kale za Biblia, baadhi zikiwa karne ya pili kabla ya Kristo (BC), kama vile Dead Sea Scrolls (karibu 150 BC) ambazo zina vitabu vya Agano la Kale vilivyoandikwa kabla hata Yesu hajazaliwa.Bibilia mnazotumia king James version zimeandikwa miaka ya 1900
Maana yangu ni kwamba Imani huja Kwa kusikia neno Hilo neno ndio maarifa yanayokujengea Imani.. Ulisema Hakuna MUNGU kuna maneno uliyasikia yakakupa hayo maarifa na ukayaamini.Maana uliyaona ni ya ukweli.Kwa nini uhitaji imani ya mambo hayo badala ya maarifa yenye ukweli?
Kwa nini mnatulazimisha kwamba Mungu wenu ni wa kwetu? Hatujawahi kuwalazimisha aisee.Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Yesu alikuwa anatumia Lugha ya kiebrania hivyo basi alikuwa akitaja jina la Mungu alikuwa akitaja kati ya haya
names for God are from Hebrew sources,
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Sasa kama haya ndio majina aliyokuwa anayatumia Yesu Kutaja jina la Mungu wake hiyo Eloi kwanini wasimalizie na H badala yake wakamalizia na I hiyo I imetoka wapi
ELOHIM
ELOH....
ALAH
Hapo ilitakiwa iandikwe Yesu alisema Eloh na sio Eloi
Hi Eloi haikuandikwa Kwa bahati mbaya wangeandika Eloh basi watu wangeelewa kumbe Yesu Mungu wake alikuwa anamuita ELOH ambayo Haina tofauti na Allah
Kwa kiebrania
ELOHIM ni Mungu muumba
Kwa kiarabu
ALLAH ni Mungu muumba
Wazungu watu wabaya sana
Kamwe kokoto haifananishwi na dhahabu endelea kushupaza shingo Wenzio wairani Wanaokoka mpaka sasa wamefikia MILION 7 wanaomjua YESU CHRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI YESU MLINDE AYATOLLAH awalinde wakristo wa iranUkiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani