Elimu ni tatizo,watu kama Warusi,Germans na wengineo English siyo lugha yao,hata makocha wengi kama Robetinho haongei English vizuri lakini anapojibu unaona English mbovu lakini anachoongea kina mantiki, sasa hawa waandishi wetu tatizo siyo lugha tu wanauliza upuuzi tu usio na maana.Sio waandishi wa habari tu sector zote... Mbona madaktari wanapasua wagonjwa vichwa baada ya miguu🙄🙄. Afu kiingereza sio lugha mama yetu. Hatuitaki asee.
" Coach why you start Mzize and not Guede in today match" [emoji23][emoji23]Habari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Inauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.
Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rahi Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.
Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.
Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.
Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Mkuu Video Sidhani Kama Itakuwa Rahisi Kupatikana Maana Waandishi Wa Habari Watafichana Kwenye Hii Aibu Waliyofanya LeoPliz weka video
Itaje hiyo aibu boss
Kwani nini kimetokea mkuu? Kama wewe una uelewa mpana mbona umeshindwa kussema nini kimetokea na ni wapi wamekosea mkuu?
Hebu fanya HipHop kosa ni lipi, tuwekee vidio ambao hatujaona
Baadhi Ya Maswali Ambayo Waandishi Wa Habari Waliyotutia Aibu Ni Hivi:Uelewa wa mambo ndiyo shida. Kwa mfano wewe kwa uelewa wako unahisi kila mtu humu jukwaani aliifuatilia hiyo press baada ya mechi?
Hebu weka hoja yako kwamba wameuliza maswali gani ambayo yamewadharirisha!
Maswali Wameuliza Mengi Karibu Yote Hayana Maana.Nilikuwa najiandaa kuleta uzi wenye maudhui sawa na yako,Kwa kweli ni aibu tupu mpaka Gamondi anamshangaa muandishi wa habari Kwa aina ya swali alilouliza
Na kwenye kimombo sasa...
[emoji3][emoji3][emoji3] akamjibu muandishi kwamba plan yake ni kufika South salama na kupumzika kwanza.Jamaa ana busara.Kosa la Kwanza kumuuliza kocha wa Mamelodi mechi ya marudiano Pretoria wakati press inahusu dakika 90 za Mkapa stadium.
Kocha wa Memolodi Yule yanki mstaarabu Sana, kajibu kiungwana Sana utumbo wa mwandishi.
Shida Ni Elimu Tumekuwa Wavivu Kujifunza Kama Una Elimu Na Knowledge Ya Kutosha Mazingira Hayatokuathiri Katika Kiwango Kikubwa Na Kushusha Utendaji Wa Kazi Husika.Elimu ndio shida tutalaumiana sana ila kuwa na elimu duni Kuna waumiza sana watanzania Nina uhakika hata wewe kazi Yako japo sijui lakini unaifanya kwa kiwango Cha chini sana shida ni elimu na mazingira ya kazi
Mkuu Heri Ingekuwa Grammar Tatizo Hata Hilo Swali Linaloulizwa Halina Maana Yeyote Zaidi Ya Kuonekana Wapumbafu.Swali lingeulizwa kwa kiswahili, hao wasiojua kiswahili wawe na wakarimani wao.
Mbona Press Nyingi Tu Za Wenzetu Waandaa Kwa Kuandika Mfano UEFA Zikichezwa Nchi Ambazo Lugha Ya Kiingereza Si Lugha Mama (Spain, France, Germany & Portugal) Waandishi Huwa Wanasoma Kabisa Kwenye Vitabu.Aibu tupu, halafu wakikaa kwenye viredio vyao kujifanya wajuwaji sasa.
TASWA na TFF tafadhali waandalieni semina na mafunzo hawa waandishi uchwara wamelitia aibu Taifa.
Ni Bora hata wawe wanaandaa maswali Kwa kuandika ili waulize Kwa kusoma kuondowa hizi aibu Kwa kujifanya wajuwaji kumbe zero kabisa.
Cc: GENTAMYCINE piga spana hizi tutusa.
Mkuu Heri Ingekuwa Lugha/Grammar Ila Aibu Ni Maswali Hawakuwa Na Mantiki Yeyote.Nakazia, ifike muda tukubali kurudi kwenye kiswahili full, au english full, Lissu mtaalamu aliwahi sema watanzania hatujui kiswahili wala english, wapige kiswahiki tu wakalimani wawatafsirie hao makocha na wachezaji
Uvivu Wa Kujifunza Na Kuongeza Maarifa.Bongo ni vihiyo kila kona, elimu duni na kukosa exposure.
Kwanini Unamuamini Mzinze Kumchezesha Mechi Kubwa Kama Hii Dhidi Ya Mamelod Wakati Yeye Ni Kinda Na Si Guede?duh sijaona aliuliza swali gani to get Gamond scorched kumuuliza mwandishi?
Tatizo waandishi wengi wa bongo hawana shule .Habari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Inauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.
Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rahi Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.
Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.
Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.
Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.
Baadhi Ya Maswali Ambayo Waandishi Wa Habari Waliyotutia Aibu Ni Hivi:
1. Kukosa Mpangilio Mzuri Wa Swali Husika (Swali Kukosa Maana) Hata Kama Limeulizwa Katika Lugha Ya Kiingereza. Maswali Karibu Yote Hayakuleta Dhima Halisi Ya Press Baada Ya Mchezo Ni Kama Waandishi Wa Habari Hawakujiandaa Kabisa.
2. Waandishi Wa Habari Kuuliza Maswali Yanayoleta Bias Kwa Kocha Na Wachezaji. Mfano Mwandishi Wa Kituo Kimoja (Blog) Ameuliza Kwanini Unamuamini Mzinze Kucheza Mchezo Wa Young Africans Dhidi Ya Mamelod Sundowns? Gamondi Ikabidi Amjibu Huku Akimshangaa Na Kumwambia Ni Mchezaji Mdogo Ambae Ni Future Ya Taifa La Tanzania Na Amefanya Attempt Nyingi Kuliko Shalulile.
3. Mwandishi Wa Habari Anaulizia Leg 2 Utakayochezwa South Africa Next Week Wakati Press Ni Summary Ya Mchezo Wa Leg 1 Uliochezwa Muda Mchache Uliopita.
4. Mwandishi Wa Habari Alipewa Nafasi Ya Kuuliza Maswali Sasa Wakati Anauliza Akauliza Swali Moja Pekee Kumbe Ana Maswali Zaidi Ya Moja Sasa Kocha Anamaliza Kumjibu Yule Mwandishi Akataka Kuuliza Swali Jingine Kama Interview Na Kuleta Mkanganyiko Kwa Waandishi Wa Habari Wengine.
5. Mambo Ni Mengi Ila Nitajitahidi Kutafuta Video Ila Sidhani Kama Itapatikana Maana Waandishi Wa Habari Watabebana Kuficha Hii Aibu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Ungerekodi video we Simu yako Ina kazi gani?Nitajitahidi Kutafuta Video
Yaani hadi kinyaaKuna mmoja alimwuliza kocha hivi " why did you trusted Mzize"
Kumbe ni balaa zaidi🤣,Mkuu Heri Ingekuwa Lugha/Grammar Ila Aibu Ni Maswali Hawakuwa Na Mantiki Yeyote.