Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Ninachojua tu ni kwamba hadi umerudi Kwangu 'Kihasira' hivi ni kwamba 'imeshapenya' hiyo. Na Ukome Siku zingine 'Kukurupukia' Kwangu sawa?
Huna akili matako wewe..utakuwa hata Ulaya hujafika..wadanganye mbwa wenzako..
 
'Logically' tu na kama 'umeiva' vyema katika 'Critical Thinking' hilo Swali la huyo Dada na langu hilo yanafanana? Nikiwadharau mnakasirikia hapa.
We umesoma bba hapo SAUT unajiona mwamba kweli kuna watu wamesoma mavyuo ya maana wala hawajitapi, we ndo umekariri make swali lako linaeza ulizwa kwa namna/style hata mia na bado likawa na mantiki ileile elewa juha wewe!
 
Aaaah Bosco from Uganda , Tl isn't your level IQ only great thinkers can an understanding him and useless.
 
Mbona unamtukana sana
Hawa wajinga Ulaya wanaona kwenye luninga...bado wana mambo ya kizamani..ogopa wazungu..Magufuri alijitapa kanunua rada wakati wazungu wamezitengeneza..wanakutumia virus unaona jua tu watakutwanga
 
Hoja ya kulaumu vyombo vya habari na taasisi zilizopo kisheria ni hoja mufu.

Kwa mfano Mitandao ya Kijamii inamilikiwa na watu binafsi na inatumika kwa uhuri usio na mipaka. Kwa miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani, viongozi wa upinzani wametumia vyombo vya habari kama majuwaa ya kisiasa. Vyombo vya habari nchi vingi vinamilikiwa na watu binafsi kuliko Serikali

Hivyo basi, kimsingi nchini kuna uhuru wa habari ambao bahati mbaya unabezwa na hao hao wanaolaumu.
 
Kuumbeee.....

Ndiyo Maana Sahibu Yangu Patrobass Paschal Katambi ana AKILI SANA...

Kwa ushuhuda huo,naunga mkono hoja!!
 

Ningekuwa Mm ndiye Mpokea Na Mjibu Barua Yako,Ningekataa kwa sababu hizi:

#Kwa Hulka Ya Mgombea Weñu...ni dhahiri,shahiri Angekuwa CRITIC kwa kuwavaba watu personal issues zake na akataraji aungwe Mkono kwa njia ya huruma.
#Tanzania Yetu Yenye Watu Wengi Wanaopenda Ushabiki wa "Yanga" na "Simba" Tena mgombea Weñu akiwa ni Aina ya hao "Mashabiki",ni dhahiri angepuyanga kwa "style" hiyohiyo!!
#Kwa hizi nchi zetu za kiafrika,KUKOSOA YA WENGINE ni rahisi Sana kuliko KUTETEA kilichokwishafanywa,kwani wasikilizaji walio wengi,si wote,ni wale Mashabiki wa "Simba" na "Yanga".
#Kwa tulivyo waafrika,tunapandishwa Sana hisia zinapoelezewa ISSUES za fedha nyingi,kwani hata Kama mmoja wa wanamdahalo AKIPOTOSHA,athari yake HUWA ni KUAMINIKA kuliko MWENYE utetezi wa Shutuma.

Ushindani,Ujuvi,Ubishi,Upotoshaji Wa mgombea Wenu,umetufanya tuukatae mdahalo nanyi.

Wasalaam,

Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole.
 
Hawa wajinga Ulaya wanaona kwenye luninga...bado wana mambo ya kizamani..ogopa wazungu..Magufuri alijitapa kanunua rada wakati wazungu wamezitengeneza..wanakutumia virus unaona jua tu watakutwanga
Aaaaah ebintu bingi tutibamanyi.
 
Ahaaaaa. Upo sawa former Rpf member.
 
Huko star tv wanao amuru kuzima kipindi kabla ya muda huwa ni wa kina nani mfano jumatatu ya week hii baada ya kulemewa hoja na miezi kadhaa iliyopita tuliona wanaamuru mpira uwekwe kapani kipindi kifungwe,,,upinzani hawaogopi haja wapo vizuri kichwani na ni mabigwa wa kutengeneza hoja,
 
Si mnawaambia wapiga kura kuwa atabomoa madaraja na barabara? Mnataka nini tena?
Tujue pia kama atabomoa na hospital, miradi ya maji, umeme, SGR, kusitisha miradi ya upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kusitisha elimu bure, kuwarudishia uhuru kama wa zamani wafanyakazi.
 
Mkuu utakuwa umepanik tu mm sijabishana na ww kuhusu huyo mtangazaji farhia, kingine nataka nikuulize kati ya Dotto Emanuel Bulendu na ndg yako Alocye Nyanda Nani anauwezo wa kuuliza maswali yaliyoenda shule??
 
Najua nakukera kwa kuwa nimekudhibiti vilivyo ndo maana mpk unatukana ...mm sintakutukana nitakwenda na ww hivyo hivyo ili niuujue upumbavu wako ulipoishia
 

Una hoja nzuri, na kwa mtu smart yanajibika. Ni kweli Aloyce Nyanda wa Star TV anajua kuhoji vizuri na maswali chokonozi, ila Doto Bulendi ni mzuri zaidi. Napendekeza hata kama kutakuwa na mdahalo wa wagombea wanaoweza kuongea kwenye midahalo, basi Doto Bulendu ni mtu sahihi kwa kazi hiyo.
 
Inaonekana ulivokuwa unataka iwe, imekuwa sivo kwaiyo roho imekuuma sana
 
Thubutu ataishia kurusha ngumi tu amuumize mwenzie. Hakika Mh Lisu analo jema kwa nchi hii kwa damu yake amelinunua taifa na Mungu amekubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…