Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Ninachojua tu ni kwamba hadi umerudi Kwangu 'Kihasira' hivi ni kwamba 'imeshapenya' hiyo. Na Ukome Siku zingine 'Kukurupukia' Kwangu sawa?
Huna akili matako wewe..utakuwa hata Ulaya hujafika..wadanganye mbwa wenzako..
 
'Logically' tu na kama 'umeiva' vyema katika 'Critical Thinking' hilo Swali la huyo Dada na langu hilo yanafanana? Nikiwadharau mnakasirikia hapa.
We umesoma bba hapo SAUT unajiona mwamba kweli kuna watu wamesoma mavyuo ya maana wala hawajitapi, we ndo umekariri make swali lako linaeza ulizwa kwa namna/style hata mia na bado likawa na mantiki ileile elewa juha wewe!
 
Basi kwa Taarifa yako tu hakuna Swali ambalo ni la muhimu na limekaa 'Kiuchokozi' ili aweze Kulijibu kwa Hoja za Kulipangua na Kuliondoa Masikioni mwa Watu wengi kama hilo.

Na ni Swali ambalo kama angelijibu vyema basi huenda kuanzia leo hii dhana ya kwamba CHADEMA ni chama cha Kaskazini Kilimanjaro ingefutika rasmi. Nitafute kwa muda nikupe japo 'Basic Course' tu ya Kufanya 'Interviews' zenye 'Akili' sawa?
Aaaah Bosco from Uganda , Tl isn't your level IQ only great thinkers can an understanding him and useless.
 
Mbona unamtukana sana
Hawa wajinga Ulaya wanaona kwenye luninga...bado wana mambo ya kizamani..ogopa wazungu..Magufuri alijitapa kanunua rada wakati wazungu wamezitengeneza..wanakutumia virus unaona jua tu watakutwanga
 
Gentamycine, ukubali ukatae jamaa yuko vizuri upstair . Waweza kuwa unamchukia kwa sababu yupo Cdm , au.kwa sababu ni archrival wa Jpm . Lakini ukweli utabaki yuko vizuri .

Na ubovu huu unaouona kwa media zetu , ni kwa sababu serikali yetu inajaribu kufanya ma ki communist . Huko kwenye u communist hakuna uhuru wa kuhoji hivyo, bali kusifu na kutukuza. Na laiti Farhia angefunguka matangazo yangelikatwa kwa amri ya juu.
Hoja ya kulaumu vyombo vya habari na taasisi zilizopo kisheria ni hoja mufu.

Kwa mfano Mitandao ya Kijamii inamilikiwa na watu binafsi na inatumika kwa uhuri usio na mipaka. Kwa miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani, viongozi wa upinzani wametumia vyombo vya habari kama majuwaa ya kisiasa. Vyombo vya habari nchi vingi vinamilikiwa na watu binafsi kuliko Serikali

Hivyo basi, kimsingi nchini kuna uhuru wa habari ambao bahati mbaya unabezwa na hao hao wanaolaumu.
 
Na hii ndiyo Faida Kubwa ya Kufundishwa ' Critical Journalism' na 'Interpretative Journalism' na 'Manguli' wa Chuo Kikuu 'Bora' nchini Tanzania cha SAUT Mwanza chini ya 'Mafundi' wangu 'walionipika' akina Dkt. Kaijanangoma ( sasa yupo SJMC hapa UDSM), Dkt. Mataba, Dkt. Mkosamali, Dkt. Ng'atigwa, Dkt. Fr. Charles Kitima ( ambaye Kipindi hiko alikuwa ndiyo VC wa SAUT ) na 'Genius' mwenyewe aliyenijaza Madini na Jeuri hii ya 'Kifikra' Kichwani Bishop Dkt. Bernadine Mfumbusa.

Vijana mnaotarajia Kuingia Vyuo Vikuu Mwezi ujao ukitaka uwe 'Genius' wa kweli na upikwe upike nenda upesi kasome SAUT ya Mwanza hutojutia.
Kuumbeee.....

Ndiyo Maana Sahibu Yangu Patrobass Paschal Katambi ana AKILI SANA...

Kwa ushuhuda huo,naunga mkono hoja!!
 
Sisi CHADEMA tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:

Ningekuwa Mm ndiye Mpokea Na Mjibu Barua Yako,Ningekataa kwa sababu hizi:

#Kwa Hulka Ya Mgombea Weñu...ni dhahiri,shahiri Angekuwa CRITIC kwa kuwavaba watu personal issues zake na akataraji aungwe Mkono kwa njia ya huruma.
#Tanzania Yetu Yenye Watu Wengi Wanaopenda Ushabiki wa "Yanga" na "Simba" Tena mgombea Weñu akiwa ni Aina ya hao "Mashabiki",ni dhahiri angepuyanga kwa "style" hiyohiyo!!
#Kwa hizi nchi zetu za kiafrika,KUKOSOA YA WENGINE ni rahisi Sana kuliko KUTETEA kilichokwishafanywa,kwani wasikilizaji walio wengi,si wote,ni wale Mashabiki wa "Simba" na "Yanga".
#Kwa tulivyo waafrika,tunapandishwa Sana hisia zinapoelezewa ISSUES za fedha nyingi,kwani hata Kama mmoja wa wanamdahalo AKIPOTOSHA,athari yake HUWA ni KUAMINIKA kuliko MWENYE utetezi wa Shutuma.

Ushindani,Ujuvi,Ubishi,Upotoshaji Wa mgombea Wenu,umetufanya tuukatae mdahalo nanyi.

Wasalaam,

Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole.
 
Hawa wajinga Ulaya wanaona kwenye luninga...bado wana mambo ya kizamani..ogopa wazungu..Magufuri alijitapa kanunua rada wakati wazungu wamezitengeneza..wanakutumia virus unaona jua tu watakutwanga
Aaaaah ebintu bingi tutibamanyi.
 
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....

1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.

Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Ahaaaaa. Upo sawa former Rpf member.
 
Huko star tv wanao amuru kuzima kipindi kabla ya muda huwa ni wa kina nani mfano jumatatu ya week hii baada ya kulemewa hoja na miezi kadhaa iliyopita tuliona wanaamuru mpira uwekwe kapani kipindi kifungwe,,,upinzani hawaogopi haja wapo vizuri kichwani na ni mabigwa wa kutengeneza hoja,
 
Si mnawaambia wapiga kura kuwa atabomoa madaraja na barabara? Mnataka nini tena?
Tujue pia kama atabomoa na hospital, miradi ya maji, umeme, SGR, kusitisha miradi ya upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kusitisha elimu bure, kuwarudishia uhuru kama wa zamani wafanyakazi.
 
Mkuu utakuwa umepanik tu mm sijabishana na ww kuhusu huyo mtangazaji farhia, kingine nataka nikuulize kati ya Dotto Emanuel Bulendu na ndg yako Alocye Nyanda Nani anauwezo wa kuuliza maswali yaliyoenda shule??
 
Hakuna Mtangazaji nchini Tanzania anayeitwa 'Burendu' kama ulivyoandika hapa Wewe bali yupo Mtangazaji na pia aliyewahi kuwa 'Tutor' wangu wa Somo la Radio Broadcasting Chuoni SAUT akiwa pia ndiyo Mkuu wa Radio SAUT aitwae Dotto Emanuel Bulendu.

Acha kuwa na 'Kiherehere' na kutaka Kujifanya unajua kwa kutaka 'Kushindana' na Mimi sawa? Kuna 'Uzi' mwingine leo hii hii nimetoka 'Kukuumbua' kuhusu Jina la Mtangazaji Farhia Middle na Wewe ukawa 'unanibishia' kwa kusema kuwa anaitwa Farhia Midle hadi baadae mwenyewe 'ulipokiri' kuwa ni kweli ulilikosea.

Uwezo wako wa 'Kupambana' na Mimi 'Kihoja' ni mdogo sana na ndiyo maana sijaanza 'Kukudharau' leo wala Jana 'Juha Mwandamizi' kabisa Wewe. Haya rekebisha upesi hilo Jina la Burendu ulilolikosea na andika Jina sahihi la Bulendu sawa? Na ufanye haraka!
Najua nakukera kwa kuwa nimekudhibiti vilivyo ndo maana mpk unatukana ...mm sintakutukana nitakwenda na ww hivyo hivyo ili niuujue upumbavu wako ulipoishia
 
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....

1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.

Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.

Una hoja nzuri, na kwa mtu smart yanajibika. Ni kweli Aloyce Nyanda wa Star TV anajua kuhoji vizuri na maswali chokonozi, ila Doto Bulendi ni mzuri zaidi. Napendekeza hata kama kutakuwa na mdahalo wa wagombea wanaoweza kuongea kwenye midahalo, basi Doto Bulendu ni mtu sahihi kwa kazi hiyo.
 
Inaonekana ulivokuwa unataka iwe, imekuwa sivo kwaiyo roho imekuuma sana
 
Sisi CHADEMA tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:
Thubutu ataishia kurusha ngumi tu amuumize mwenzie. Hakika Mh Lisu analo jema kwa nchi hii kwa damu yake amelinunua taifa na Mungu amekubali.
 
Back
Top Bottom