Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Huu ndo uhuru wenyew anaozungumzia lissu yaani mwandishi aulize maswali unayoyataka wew kada wa ccm tena unayaita critical.kwa ufupi maswali yote uliyouliza yalizungumzwa,hukusikia wala kuelewa kwa sababu ya partisanism....mwanasayansi mmoja wa siasa aliwahi kusema "partisanism distort mental ability",ukada au uvyama huharibu akili za watu...twaweza waliwahi kusema "wafuasi wengi wa chama dola wajinga na wasaka fursa na wengi wao ni wazee"
 
Kuna mtu hapo ataingia mitini tu. Mtakuja mniambie.
 
Nimejaribu pia kusoma na comment zako, waambie SAUT wakakufunze vizuri / hujaelewa ulicho fundishwa, inaonyesha hujui utilize nini wakati gani na pahala gani halafu kumbuka yule mwandishi wa habari sio mbaguzi maswali yako ni mepesi halafu ni ya kibaguzi sana....totally nothing
 
"Siasa ni taaluma inayojibu kila swali"...Lukubuzo.
 
Umewaamsha watu wa media ikitokea kuitwa na chombo kingine cha habari watakua wamenukuu baadhi ya maswali yako asante
 
Kwahiyo hivi ndo viswali ambavyo Lissu angeshindwa kujibu?[emoji2][emoji2][emoji2]

IQ ya Lissu ni kubwa kushinda hivi viswali vyako.Duniani huko kaaulizwa maswali 'technical' na yote kayajibu kwa weledi wa juu mno sembuse huu UTOPOLO[emoji848]!!.
 
Thubutu ataishia kurusha ngumi tu amuumize mwenzie. Hakika Mh Lisu analo jema kwa nchi hii kwa damu yake amelinunua taifa na Mungu amekubali.
Magufuli ana phd
Lissu ana ki masters tu

Lissu lazima apigwe
 
Angeanza na katiba ya chadema. Au kwa sababu katiba ya chadema inamfeva yeye ambaye hawezi kuguswa na mwenyekiti huku wengine wanaumizwa? Na wakijaribu kutafuta haki yeye ndio anakuwa wa kwanza kuwashambulia.

Kuna mtu alisema uongozi na udikteta hauepukiki..isipokuwa unategemea tu upo level gani ya uongozi.
 

Safi sana Genta!

Aione John Mnyika au meneja wa kampeni wa Lissu na majibu yaandaliwe kwa maandishi yaletwe humu yajibiwe kupitika kampeni zinazoendelea.

Tumaini Makene tafadhali wezesha hilo.
 
Haya maswali yako wa kujibu ni level ya katibu wa bavicha mkoa, Maswali mepesi Kama tishu bana.

Hukumuona TL katika kipindi Cha 'hard talk'?
 
Mkuu almost kila swali hapo kaulizwa na kulijibu barabara kabisaaa, isipokuwa swali la tano. Hilo la tano ni zuri kwa sababu hatujawai kujua msimamo wa Lissu juu ya kuhamia dodoma. Swali la nne, hilo lilitakiwa liulizwe na kada wa CCM kweny vijiwe vya kahawa, na sio kweny media halafu kwa mwandishi ambaye ni certified critical journalist, kwa sababu lipo nje ya "journalism ethics as a professional". Mwandishi wa habari mwenye weledi unauliza vipi swali la hivo, wakati unajua chama kipo kwa mujibu wa katiba na sheria za uanzishwaji wa vyama vya siasa, utaonekana mzemb na hujajishughulisha kusoma, na haujatofautisha kati ya propaganda na news, so far hujui "criteria to determine news".

Hapo kwa SAUT, let complement you....nafundushwa na product mbili za SAUT kama lecture wangu kweny somo la public relations and marketing....they are so bright !
 
Hapo swali lenye akili ni moja tu hilo la kwanza, hata tukimchukua standard 7 atajibu hayo maswali kwa kiwango cha kuridhisha wasikilizaji, hapo hakuna tricky question.
 
amekusikia Tundu lissu andaa kipindi pale TBC aje akujibu maswali yako
 
SAUTI ni chuo kikuu nacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…