Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
TAL ni level nyingine, JPM bado sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndo uhuru wenyew anaozungumzia lissu yaani mwandishi aulize maswali unayoyataka wew kada wa ccm tena unayaita critical.kwa ufupi maswali yote uliyouliza yalizungumzwa,hukusikia wala kuelewa kwa sababu ya partisanism....mwanasayansi mmoja wa siasa aliwahi kusema "partisanism distort mental ability",ukada au uvyama huharibu akili za watu...twaweza waliwahi kusema "wafuasi wengi wa chama dola wajinga na wasaka fursa na wengi wao ni wazee"Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Jamaa anajua anachokifanyaTAL ni level nyingine, JPM bado sana.
Kuna mtu hapo ataingia mitini tu. Mtakuja mniambie.Sisi CHADEMA tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:
Nimejaribu pia kusoma na comment zako, waambie SAUT wakakufunze vizuri / hujaelewa ulicho fundishwa, inaonyesha hujui utilize nini wakati gani na pahala gani halafu kumbuka yule mwandishi wa habari sio mbaguzi maswali yako ni mepesi halafu ni ya kibaguzi sana....totally nothingLaiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
"Siasa ni taaluma inayojibu kila swali"...Lukubuzo.Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Lissu lazima aombe pooooKuna mtu hapo ataingia mitini tu. Mtakuja mniambie.
Kwahiyo hivi ndo viswali ambavyo Lissu angeshindwa kujibu?[emoji2][emoji2][emoji2]Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Magufuli ana phdThubutu ataishia kurusha ngumi tu amuumize mwenzie. Hakika Mh Lisu analo jema kwa nchi hii kwa damu yake amelinunua taifa na Mungu amekubali.
Angeanza na katiba ya chadema. Au kwa sababu katiba ya chadema inamfeva yeye ambaye hawezi kuguswa na mwenyekiti huku wengine wanaumizwa? Na wakijaribu kutafuta haki yeye ndio anakuwa wa kwanza kuwashambulia.Swali lako la sita kasikilize kuanzia dakika 37, kaelezea vizuri suala la katiba na uwajibikaji, kasema kabisa hata Nyerere aliikosoa katiba na kuhofu juu ya kupata rais dikiteta uchwara ambaye wateule wake watashindwa kuwajibika kwa wananchi wala juu ya katiba, zaidi ya kuwajibika kwa mteuaji hata kama atalazimisha ufanyike ujinga!
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Haya maswali yako wa kujibu ni level ya katibu wa bavicha mkoa, Maswali mepesi Kama tishu bana.Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
PhD ya kubumba!Magufuli ana phd
Lissu ana ki masters tu
Lissu lazima apigwe
Hapo swali lenye akili ni moja tu hilo la kwanza, hata tukimchukua standard 7 atajibu hayo maswali kwa kiwango cha kuridhisha wasikilizaji, hapo hakuna tricky question.Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Na hii ndiyo Faida Kubwa ya Kufundishwa ' Critical Journalism' na 'Interpretative Journalism' na 'Manguli' wa Chuo Kikuu 'Bora' nchini Tanzania cha SAUT Mwanza chini ya 'Mafundi' wangu 'walionipika' akina Dkt. Kaijanangoma ( sasa yupo SJMC hapa UDSM), Dkt. Mataba, Dkt. Mkosamali, Dkt. Ng'atigwa, Dkt. Fr. Charles Kitima ( ambaye Kipindi hiko alikuwa ndiyo VC wa SAUT ) na 'Genius' mwenyewe aliyenijaza Madini na Jeuri hii ya 'Kifikra' Kichwani Bishop Dkt. Bernadine Mfumbusa.
Vijana mnaotarajia Kuingia Vyuo Vikuu Mwezi ujao ukitaka uwe 'Genius' wa kweli na upikwe upike nenda upesi kasome SAUT ya Mwanza hutojutia.