Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Kabla ya yote ingependeza kujua maneno yanayotamkwa hapo. Tunaweza kurupuka kuanza kulaumu wakati kinachozungumzwa ni tofauti kabisa
Wanasema: "Asante sana kuundwa kwa kampuni ya DPW, na Sasa bandari ya Tanzania ni yetu"
 
Friendship ya kawaida kabisa
 
Wameshika Ngiri masikio🙉🙉🙉🙉
 
Huenda ni Watanzania.
 
Jichunge sana na Propaganda ndugu yangu
 
Jichunge sana na Propaganda ndugu yangu
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hay.
 
Jichunge sana na Propaganda ndugu yangu
Propaganda zipi nahuku niukweli mnafurahia sana kuwekwa kwa waarabu si udhibitisho upo au unautaka hakuna muislamu ambaye hamuungi mkono waarabu hakunaga
 
Kabla ya yote ingependeza kujua maneno yanayotamkwa hapo. Tunaweza kurupuka kuanza kulaumu wakati kinachozungumzwa ni tofauti kabisa
Mleta mada atafsiri ili tujue kinachoimbwa hatuwezi kurukia jambo bila kujua undani wake kama yeye alivyofanya
 
Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Asante kwa ufafanuzi mzuri wala Sasa ntaweza lala
 
Nimesikitishwa sana.
 
Kabla ya yote ingependeza kujua maneno yanayotamkwa hapo. Tunaweza kurupuka kuanza kulaumu wakati kinachozungumzwa ni tofauti kabisa
Hata kama maneno yangekuwa "Nakupenda Tanzania" Bado jumuiko hilo la warabu lingetiliwa mashaka tu.
 
Mleta mada atafsiri ili tujue kinachoimbwa hatuwezi kurukia jambo bila kujua undani wake kama yeye alivyofanya
Mleta mada ni kati ya wapinzani wa ccm ndani ya ccm .

Huyu jamaa kipindi cha Magufuli alikuwa anakesha kuichafua cdm kila kukicha.

Leo hii anaiponda ccm kisa hakuna sukuma gang kwenye mfumo ili aendelee kula kuku kwa mrija.
 
Ngoja niwaambie. Hawo wanaorusha bendera yetu kwa furaha ni Wasukuma, wako wengi sana Oman na Dubai. Mmoja wao huyu hapa:
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…