SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.