Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al maana yake theKama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Hii sio walijiongeza wenyewe kwenye mikutano yao wakaona kauli mbiu inaendana na hilo jina?Halafu akawaambia kauli mbiu yao ni nyuma kuna mwiko
Mi sijuiUna uhakika hili jukwaa lina waarabu wa kwenye hizo timu?
Waanze kujiita Al-kasusu!Katili mnooo. Nadhani alikuwa anawatania, wao wakapenda utani wake
Afundishwe maana articles a,an & the na matumizi yake.Al means THE. UKijua maana the hutapata shida.
Nakumbuka kati ya darasa la nne au la tano tulifundishwa maana ya articles a,an & the na matumizi yake,Al=the.Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Unawasema waarabu utakosana na Faiza🤣Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Al maana yake the
EPL nzima hakuna timu hata moja yenye kutumia hizo "articles"Afundishwe maana articles a,an & the na matumizi yake.
Nakumbuka kati ya darasa la nne au la tano tulifundishwa maana ya articles a,an & the na matumizi yake,Al=the.
Usilazimishe tamaduni za nchi nyingine zifuatwe na nchi nyingine.Kingine hapo Kuna lugha yao na matumizi yake katika maeneo mbalimbali.EPL nzima hakuna timu hata moja yenye kutumia hizo "articles"
Sawa Al sayville tutajirekebishaKama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
😄😄😄 hilo jina la mwisho dah! ila tutatokako tuAl shabaab
Al humudi
Al makolo
Al qanah
Al kushiriki confederesheni kapu
Neno Al kwa kiarabu ni sawa na neno THE kwa English,ni sawa na kusndika THE National stadium,THE National Bank of....,THE Bank of.... Nk.Kwa ni waqndishi wa habari ndio wanaandika hivyo kama utambulisho.Unaweza ukaacha AL,ukasndika Qaida,shabab,Ahally,lakini haitajulikana ni ipi,ni kama kwenye English,unaweza ukaandika National stadiun stadium,nila THE...Wao Kila kitu ni vita, kama Al qaida, Al Hamas, Al shaabab