Waarabu kuweni wabunifu, siyo lazima timu iitwe Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr

Waarabu kuweni wabunifu, siyo lazima timu iitwe Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr

Safi sana kumbe watu wenye akili bado wapo humu jf, safi umemuelezea vizuri sana ila kwa kuwa ni kolo hawezi kuelewa
Yaani huwa mnajinadi kuwa klabu ilianzishwa ili kupigania uhuru wa mwafrika halafu hapo hapo mnatuambia jina lenu la kwanza lilikuwa la kiinglishi
 
Afundishwe maana articles a,an & the na matumizi yake.

Nakumbuka kati ya darasa la nne au la tano tulifundishwa maana ya articles a,an & the na matumizi yake,Al=the.
Hoja ya mleta uzi ni kwamba karibia kila ligi ya nchi ya kiarabu kuna timu zinafanana majina.
Mfano kuna al ahli ya misri,saudi n.k, al hilal vile vile na sio hio al kama sijakosea.
 
Yaani huwa mnajinadi kuwa klabu ilianzishwa ili kupigania uhuru wa mwafrika halafu hapo hapo mnatuambia jina lenu la kwanza lilikuwa la kiinglishi
Kupigania uhuru na kutumia lugha ya kiingilishi wapi na wapi?
 
Neno Al(the) sio Ally(ni jina),Al ni sawa na English THE,maana yake ni utambulisho wa kitu maarufu,ili kijulikane kinachotajwa ni timu ya mpira,ni Bank,ni uwaja wa mpira,ni kampuni nk.The National Bank of ......,The National stadium,nk.
Hayo majina ndio yanafanan kila ligi. Ndio maana kutaka kutofautisha now wanaongeza na jina la makao ya timu e.g al ahli xairo, al hilal suadi.
 
Hoja ya mleta uzi ni kwamba karibia kila ligi ya nchi ya kiarabu kuna timu zinafanana majina.
Mfano kuna al ahli ya misri,saudi n.k, al hilal vile vile na sio hio al kama sijakosea.

Hayo majina ndio yanafanan kila ligi. Ndio maana kutaka kutofautisha now wanaongeza na jina la makao ya timu e.g al ahli xairo, al hilal suadi.
Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya msingi nashangaa watu wanabadili kuwa mjadala kuhusu AL utadhani AL ndiyo majina ya hizo timu. SMH.
 
Hoja ya mleta uzi ni kwamba karibia kila ligi ya nchi ya kiarabu kuna timu zinafanana majina.
Mfano kuna al ahli ya misri,saudi n.k, al hilal vile vile na sio hio al kama sijakosea.
Mbona kawaida huko Hispania Kuna Madrid za kutosha hata uk zipo Manchester zaidi ya moja au ni kwasabu hayo majina ni ya ki Arab
 
Al Nassir = the victory
Al hilal= the crescent
Al ahly = the national
 
Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.

Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.

Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Hata Alllah ni Al llah
 
Back
Top Bottom