Wameishiwa majinaKama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Yaani we kolo, na Yanga umeiweka kwenye majina ya ajabu..!! Halafu eti umeliacha nguruwe FCKama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Mpaka majina ya mapenzi Al habibWao Kila kitu ni vita, kama Al qaida, Al Hamas, Al shaabab
yanga... dah. Aliyewatungia hili jina ni katili mno.Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Yaani we kolo, na Yanga umeiweka kwenye majina ya ajabu..!! Halafu eti umeliacha nguruwe FC
Rais wenu Hersi alipokuwa Algeria aliwabadili jina lenu akawaita Al Shabaab.....Al shabaab
Al humudi
Al makolo
Al qanah
Al kushiriki confederesheni kapu
NIMEGUGOOO..!! IPO HAPA What is the meaning of AL in Arabic names?Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
yanga inameza yote hayo. Jina flani hivi la aibu mno. yanga. Ujue kile kirefu mnachoambiwa sicho.Al shabaab
Al humudi
Al makolo
Al qanah
Al kushiriki confederesheni kapu
Al kupigwa nje ndani na YangaAl shabaab
Al humudi
Al makolo
Al qanah
Al kushiriki confederesheni kapu
Halafu akawadanganya kirefu chake ni Young African.Katili mnooo. Nadhani alikuwa anawatania, wao wakapenda utani wake
NIMEGUGOOO..!! IPO HAPA What is the meaning of AL in Arabic names?
In Arabic names, "AL" is often used as a definite article, similar to "the" in English. It serves to indicate that the name is a specific person or thing, rather than a general reference.
The use of "AL" in Arabic names can have several common meanings:
Denoting a family, tribe, or group: For example, "Al-Saud" refers to the Saudi royal family.
Indicating a place of origin or residence: "Al-Baghdadi" would indicate someone from the city of Baghdad.
Highlighting a personal attribute or characteristic: "Al-Kabir" would mean "the Great" or "the Mighty."
Distinguishing a particular individual: "Al-Ghazali" would refer to a specific person with that name, rather than a general reference.
The placement of "AL" in an Arabic name can provide information about the person's background, lineage, or identifying features. Understanding this usage of "AL" can help contextualize the meaning and significance of Arabic names.
Issue kubwa siyo Al ingawa kila timu kutumia na yenyewe inaangukia kwenye ukosefu wa ubunifu. Issue ni hayo majina yenyeweAl means THE. UKijua maana the hutapata shida.