Waarabu kuweni wabunifu, siyo lazima timu iitwe Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr

Nimepewa taarifa kwamba Al ahly wamesikia malalamiko yenu....na sasa timu itaitwa Juma ahly
 
Al maana yake the
 
Hii sio walijiongeza wenyewe kwenye mikutano yao wakaona kauli mbiu inaendana na hilo jina?
Halafu wakajipa rangi ya manjano. Hii timu kweli ilikuwa ya "watu wa kawaida", hahah
 
Reactions: Tsh
Al means THE. UKijua maana the hutapata shida.
Afundishwe maana articles a,an & the na matumizi yake.
Nakumbuka kati ya darasa la nne au la tano tulifundishwa maana ya articles a,an & the na matumizi yake,Al=the.
 
Unawasema waarabu utakosana na Faiza🤣
 
EPL nzima hakuna timu hata moja yenye kutumia hizo "articles"
Usilazimishe tamaduni za nchi nyingine zifuatwe na nchi nyingine.Kingine hapo Kuna lugha yao na matumizi yake katika maeneo mbalimbali.
 
Sawa Al sayville tutajirekebisha
 
Wao Kila kitu ni vita, kama Al qaida, Al Hamas, Al shaabab
Neno Al kwa kiarabu ni sawa na neno THE kwa English,ni sawa na kusndika THE National stadium,THE National Bank of....,THE Bank of.... Nk.Kwa ni waqndishi wa habari ndio wanaandika hivyo kama utambulisho.Unaweza ukaacha AL,ukasndika Qaida,shabab,Ahally,lakini haitajulikana ni ipi,ni kama kwenye English,unaweza ukaandika National stadiun stadium,nila THE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…