Waarabu kuweni wabunifu, siyo lazima timu iitwe Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr


Neno Al(the) sio Ally(ni jina),Al ni sawa na English THE,maana yake ni utambulisho wa kitu maarufu,ili kijulikane kinachotajwa ni timu ya mpira,ni Bank,ni uwaja wa mpira,ni kampuni nk.The National Bank of ......,The National stadium,nk.
 
Halafu akawadanganya kirefu chake ni Young African.
Neno asili/ sahihi ni Young Africans, hilo la Yanga limetokana na wazee wetu wa zamani kushindwa kutamka hilo Young Africans badale yake wakatamka Yanga. Kuna maneno mengi tu ya kigeni yaliyo haribiwa kimatamshi na wazee wetu wa zamani kwa kushindwa kutamka. Kwa mfano kuna sehemu moja mkoa wa Morogoro, wilaya ya Kilombero kunaitwa Ziginali wengine wanatamka Siginali. Hilo ni neno asili yake ni neno la kingereza ambalo ni signal.
 
Usiwazalilishe wazee wenu katafute maana ya yanga maana kuna mtu aliwapiga na kitu kizito.
 
al kasusu FC club.
 
we unajua maana ya hayo majina au unajiropokea tu?
 
Waarabu si unajuwa wana asili ya uvivu.
 
Kwahiyo wewe unataka timu zao wasiziite Kwa lugha ya Kiarabu?

Ungewachagulia na lugha unayotaka waitumie ingekuwa vizuri zaidi
 
Safi sana kumbe watu wenye akili bado wapo humu jf, safi umemuelezea vizuri sana ila kwa kuwa ni kolo hawezi kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…