Yaani huwa mnajinadi kuwa klabu ilianzishwa ili kupigania uhuru wa mwafrika halafu hapo hapo mnatuambia jina lenu la kwanza lilikuwa la kiinglishiSafi sana kumbe watu wenye akili bado wapo humu jf, safi umemuelezea vizuri sana ila kwa kuwa ni kolo hawezi kuelewa
Hujui na hujui kama hujui.Watu mmebadili mada tofauti na iliyoletwa. Suala siyo hizo Al, suala ni majina hayo yaliyotajwa
Na sisi kila neno lazima A sijui tuliamua niniWao Kila kitu ni vita, kama Al qaida, Al Hamas, Al shaabab
Hili ndio jibu kama Al Shabab, The youthAl maana yake the
Hoja ya mleta uzi ni kwamba karibia kila ligi ya nchi ya kiarabu kuna timu zinafanana majina.Afundishwe maana articles a,an & the na matumizi yake.
Nakumbuka kati ya darasa la nne au la tano tulifundishwa maana ya articles a,an & the na matumizi yake,Al=the.
Kupigania uhuru na kutumia lugha ya kiingilishi wapi na wapi?Yaani huwa mnajinadi kuwa klabu ilianzishwa ili kupigania uhuru wa mwafrika halafu hapo hapo mnatuambia jina lenu la kwanza lilikuwa la kiinglishi
Hayo majina ndio yanafanan kila ligi. Ndio maana kutaka kutofautisha now wanaongeza na jina la makao ya timu e.g al ahli xairo, al hilal suadi.Neno Al(the) sio Ally(ni jina),Al ni sawa na English THE,maana yake ni utambulisho wa kitu maarufu,ili kijulikane kinachotajwa ni timu ya mpira,ni Bank,ni uwaja wa mpira,ni kampuni nk.The National Bank of ......,The National stadium,nk.
Teh teh teh teh teh..........Al shabaab
Al humudi
Al makolo
Al qanah
Al kushiriki confederesheni kapu
Hoja ya mleta uzi ni kwamba karibia kila ligi ya nchi ya kiarabu kuna timu zinafanana majina.
Mfano kuna al ahli ya misri,saudi n.k, al hilal vile vile na sio hio al kama sijakosea.
Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya msingi nashangaa watu wanabadili kuwa mjadala kuhusu AL utadhani AL ndiyo majina ya hizo timu. SMH.Hayo majina ndio yanafanan kila ligi. Ndio maana kutaka kutofautisha now wanaongeza na jina la makao ya timu e.g al ahli xairo, al hilal suadi.
Hovyooo Al kwa kingereza ni TheNahisi kuna mtu muhimu sana kwao wanamuenzi pengine aliitwa Ali
Mbona kawaida huko Hispania Kuna Madrid za kutosha hata uk zipo Manchester zaidi ya moja au ni kwasabu hayo majina ni ya ki ArabHoja ya mleta uzi ni kwamba karibia kila ligi ya nchi ya kiarabu kuna timu zinafanana majina.
Mfano kuna al ahli ya misri,saudi n.k, al hilal vile vile na sio hio al kama sijakosea.
Kuna hili nalo, cow way = KaweNimekupa na mfano wa signal = Ziginali/ Siginali Fuatilia
Al kisirisiriAl Magoma
Hata Alllah ni Al llahKama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi, kuna timu zina majina ya ajabu yasiyo ya kimpira kama Ihefu, Yanga, Namungo, nk. ila tunayazoea maisha yanaendelea.
Al Yanga = the mwananchiAl Nassir = the victory
Al hilal= the crescent
Al ahly = the national