Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Acha uongo!! Ingekua waarabu hawaowi waswahili kusingekua na machotara wa kiarabu hapa TZ. Pia namjua Dada wa kihindi Pure kaolewa na Mmasai na wamezaa 2 kids! Huyo Dada anajutia kuolewa na Mmasai sababu anabaguliwa yy na wanawe huko umasaini mpaka wakafukuzwa! Mume nae ana michepuko kama yote
Wanawabaka
 
Hatuwarubui×=Hatuwatambui✓

Ni bora kutotambuliwa na waarabu kuliko kutotambuliwa na Allah kwani katika Qur'an Allah anasema"Binadamu wote tumetokana na chanzo kimoja Adam na Hawa na kutokana na hao patapatikana makabila na mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana lakini mbora wenu ni yule aliye mchamungu zaidi"{Qu'ran 49:13}

Hapo unagundua kuwa hadhi ya mtu mbele ya Mwenyezi Mungu ni kutokana na levo ya tabia njema zake na jinsi anvyoishi na watu na si vinginevyo kwa hiyo asiponitambua mtu ambaye wote tunaenda chooni na kushea mbingu na Ardhi moja ni sawa tu kwani ni ujinga wake mwenyewe.
Ficha ujinga, nani kakwambia uarabu ni uislamu, uislmau ni wa wote uarabu ni wawaarabu sisi tuu
 
Ficha ujinga, nani kakwambia uarabu ni uislamu, uislmau ni wa wote uarabu ni wawaarabu sisi tuu
Wapi nimesema uarabu ndio uislamu? wakati mimi nimeonyesha kwamba rangi , taifa na kabila havina nafasi kwa Allah ikiwa mtu matendo yake mabovu

Muda wa kuniquote ni bora ungetumia kujifunza kuandika vizuri kwani post yako ina makosa kibao ya kilugha kama mtoto wa chekechea .
 
They are entitled to their cultural ethnicity in which religion (Islam) is part of, they are historically recognize Blacks as subjects and once enslaved race, married to their former and probably current cultural surbodinates discredit their very superiority.

So cultural and ethnicity boundaries matter to them
 
Mnajaribu kuutenga Uislamu na Uarabu, wenzenu kule Uislamu si tu imani, bali ni mtindo wa maisha, ndio mana wana dola za Kiislamu, yaani taratibu za dini ya Kiislamu zinaamua mtindo wa kufanya siasa kwenye nchi.
 
Ni lazima nioe kwetu tu kama nikienda mbali basi ni waafrica walio nje ya africa ili kuishi na mtu ambaye mnaendana kila kitu na kuondoa mivutano isiyo na lazima.
Considering wanawake weupe kutoka races nyingine sio preferable kabisa kwangu, ile white kama karatasi inaondoa kabsisa mvuto wao wote. ni wa kawaida sana kama ukiwaangalia kwa ukaribu sio kama unavyowaona kwenye movies na series wakiwa wameoga makeup na mabandia mengine. na pia nyama ni ileile tu hakuna tofauti yoyote.
Japo sio vibaya kutest lakini sio kuoa, seriously unaanzaje kuacha shape kali za kibantu?

Kila mtu aoe kwao mkuu sioni tatizo hapo.
 
Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.

Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao.
Watu wanashindwa kuelewa kua dini ni sehemu ya kukutania watu wa jamii moja, kushiriki ibada na kusaidiana kama jamii. Sio kama watu weusi tunavyoichukulia. Watu weusi wengi wanaichukulia kama sehemu ya kuabudu watu wote, ila race nyingine nikiongelea waarabu, wazungu, wahindi, wachina, wakienda kusali unawakuta ni wao tu. Hii inasaidia kukutana na kujadili maswla yao ya kijamii. Kwa hiyo wewe nigga kuingia kwa dhehebu ambalo majority ni jamii tofauti na yako ni kujipendekeza.
Tujifunze hata kurudi kwenye dini zetu za mitambiko. Zilikua zinatuunganisha kama jamii

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?

Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.

Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.

Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
View attachment 2247117
Watu wanashindwa kuelewa kua dini ni sehemu ya kukutania watu wa jamii moja, kushiriki ibada na kusaidiana kama jamii. Sio kama watu weusi tunavyoichukulia. Watu weusi wengi wanaichukulia kama sehemu ya kuabudu watu wote, ila race nyingine nikiongelea waarabu, wazungu, wahindi, wachina, wakienda kusali unawakuta ni wao tu. Hii inasaidia kukutana na kujadili maswla yao ya kijamii. Kwa hiyo wewe nigga kuingia kwa dhehebu ambalo majority ni jamii tofauti na yako ni kujipendekeza.
Tujifunze hata kurudi kwenye dini zetu za mitambiko. Zilikua zinatuunganisha kama jamii

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Si mnasema weusi ndio waliumbwa kwanza na mitume wengi waafrika?
Pambaneni tu na akili zenu
 
Back
Top Bottom