Kwani mweusi mwenzio hana Uchi mpk uforce kupata Binti wa kiarab na kihindi?Ase mwenye anaweza nipa connection ya kupata binti wa kihindi au mwarabu afanye hivyo maana mwarabu niliekuwa nae sahivi analiwa kimasihara na akina Konde na reyvan
WanawabakaAcha uongo!! Ingekua waarabu hawaowi waswahili kusingekua na machotara wa kiarabu hapa TZ. Pia namjua Dada wa kihindi Pure kaolewa na Mmasai na wamezaa 2 kids! Huyo Dada anajutia kuolewa na Mmasai sababu anabaguliwa yy na wanawe huko umasaini mpaka wakafukuzwa! Mume nae ana michepuko kama yote
Ficha ujinga, nani kakwambia uarabu ni uislamu, uislmau ni wa wote uarabu ni wawaarabu sisi tuuHatuwarubui×=Hatuwatambui✓
Ni bora kutotambuliwa na waarabu kuliko kutotambuliwa na Allah kwani katika Qur'an Allah anasema"Binadamu wote tumetokana na chanzo kimoja Adam na Hawa na kutokana na hao patapatikana makabila na mataifa mbalimbali lengo ni kufahamiana lakini mbora wenu ni yule aliye mchamungu zaidi"{Qu'ran 49:13}
Hapo unagundua kuwa hadhi ya mtu mbele ya Mwenyezi Mungu ni kutokana na levo ya tabia njema zake na jinsi anvyoishi na watu na si vinginevyo kwa hiyo asiponitambua mtu ambaye wote tunaenda chooni na kushea mbingu na Ardhi moja ni sawa tu kwani ni ujinga wake mwenyewe.
Wapi nimesema uarabu ndio uislamu? wakati mimi nimeonyesha kwamba rangi , taifa na kabila havina nafasi kwa Allah ikiwa mtu matendo yake mabovuFicha ujinga, nani kakwambia uarabu ni uislamu, uislmau ni wa wote uarabu ni wawaarabu sisi tuu
Jifunze kuandika vizuri unaidhalilisha Jf na elimu ya Tanzania.Ficha ujinga, nani kakwambia uarabu ni uislamu, uislmau ni wa wote uarabu ni wawaarabu sisi tuu
Nyinyi mutakereka na mengi ya waislamu.Sijui kwanini watu huwa wanapakaa ndevu hayo marangi, huwa wananufaika nayo kipi haswa [emoji848][emoji1]
Watu wanashindwa kuelewa kua dini ni sehemu ya kukutania watu wa jamii moja, kushiriki ibada na kusaidiana kama jamii. Sio kama watu weusi tunavyoichukulia. Watu weusi wengi wanaichukulia kama sehemu ya kuabudu watu wote, ila race nyingine nikiongelea waarabu, wazungu, wahindi, wachina, wakienda kusali unawakuta ni wao tu. Hii inasaidia kukutana na kujadili maswla yao ya kijamii. Kwa hiyo wewe nigga kuingia kwa dhehebu ambalo majority ni jamii tofauti na yako ni kujipendekeza.Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.
Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao.
Watu wanashindwa kuelewa kua dini ni sehemu ya kukutania watu wa jamii moja, kushiriki ibada na kusaidiana kama jamii. Sio kama watu weusi tunavyoichukulia. Watu weusi wengi wanaichukulia kama sehemu ya kuabudu watu wote, ila race nyingine nikiongelea waarabu, wazungu, wahindi, wachina, wakienda kusali unawakuta ni wao tu. Hii inasaidia kukutana na kujadili maswla yao ya kijamii. Kwa hiyo wewe nigga kuingia kwa dhehebu ambalo majority ni jamii tofauti na yako ni kujipendekeza.Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.
Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.
Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
View attachment 2247117
Kagera/Shinganga mbona wahindi na walabu kibao na wameolewa na wabongo au nyie mnaongelea wahindi na warabu wa magorofa ya NHC
Kama unaenda chuo cha IJMC pale makumbushohivi wahindu wa bongo wanachomea wapi maiti?
Waarabu wanaolewa ila wahindi ndiyo shidawenyewe wana ya kwao alafu aoe mweusi kuongeza mabalaa yanini sasa!