Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Tafuten hela. Waarabu wanaolewa vizuri tu na weusi.
 
Inasikitisha sana
 
Huyo ni @FaizaFoxy
 
Waarabu na wahindi niwabaguzi ilibidi watengewe sayari yao kabisa hapa sasa ni swala la kufunga na kuomba ili mungu asikie kilio chetu maana ngozi nyeusi wherever we go is regalded as monkey.
huu uzi pia ni ubaguzi wa rangi unapata wapo nguvu kusemea ubaguzi
 
Kama mnabaguana wenyewe kwa wenyewe, hao waarabu na wahindi achana nao
 
Acha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Huku kwetu Pemba tuna kamsemo aheri shehe mlevi kuliko shehe mweusi
 
Sio wanaamini, huo ndo ukweli, ngozi nyeusi ina laana fulani
 
Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.

Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao.
Acha uongo na upotoshaji,, waarabu kibao wanaswali uswahilin miskiti inaongozwa na ngozi nyeus.. labda waislanu hatuna ubaguz wa namna hii hata kama ni mweupe
 
Waarabu na Wahindi hawachuliwi kuwa watu weupe ila ni coloured people.
 
Hawa watakuwa ni wale wa chama cha mafisi.
 
Acha uongo na upotoshaji,, waarabu kibao wanaswali uswahilin miskiti inaongozwa na ngozi nyeus.. labda waislanu hatuna ubaguz wa namna hii hata kama ni mweupe
Waarabu koko hao.
 
Asee inasikitisha sana,, alafu hapo mtu anataka kuprove mtu mweusi sio nyani wakati matendo yake ni unyani nyani tupu shenziii kabisa manyani kabisa hao weusi.

Nilishangaa siku moja kuingia Kwenye vyoo ofisi ya Mkuu wa mkoa X alafu nikakuta vyoo vichafu Sana nikasema kwahiyo mkuu wa mkoa ndio anafanya haya,, ule nao ni unyani kabisaa.
 
Wahindi wa dini ya Kihindu na Sikh kutokuchanganya race kunachagizwa na dini zao, Wahindi Goa ambao walitawaliwa na Wareno na % kubwa ni Wakristo Wakatoliki hawa kujichanganya ni kawaida na wapo kimagharibi sana hata majina yao wengi wanatumia ya Kireno Fernandes, Desouza nk.
 
Kwahiyo watu weusi tuanze kupigania haki dada zetu waolewe na wahindi na waarabu au tuachane nalo kwanza
 
Nenda Kagera,ndoa za wahindi,waarab na waswahili zipo nyingi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…