Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hawa watu wa hii dini wana inferiority. Ikiwa issue ya Marekani au china kusemwa huoni wakisema udini, Ila wakisemwa waarabu basi ndio udini unaingia.Ana akili ndogo huyo achanaye.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbona unanisemea,una shida gani!?..nimesema wapi waarabu ni malaika!?..OBC Wana skendo za rushwa wapi!?..kathibitisha Nani?..lini waarabu waliwekeza kwetu wanafanya unyang'anyi kiasi Cha mdoa mada kudai tumekwisha!?..kasukumwa na nini kututisha juu ya uwekezaji wa waarabu!?Unaona sasa, hadi hapo unawaona waarabu ni malaika.
OBC hawana skendo za rushwa?
Unahitaji uthibitisho? Unaposema unyang'anyi wa wazungu na wachina unajulikana unao uthibitisho?Mbona unanisemea,una shida gani!?..nimesema wapi waarabu ni malaika!?..OBC Wana skendo za rushwa wapi!?..kathibitisha Nani?..lini waarabu waliwekeza kwetu wanafanya unyang'anyi kiasi Cha mdoa mada kudai tumekwisha!?..kasukumwa na nini kututisha juu ya uwekezaji wa waarabu!?
Kuna meli uwa zinakaa hadi wiki 2 kule nje kusubiri kuingia bandarini,kuna nyingine ukaa pale baadae uamua kuondoka kwenda kushusha au kupakia mombasa,hii kitu sidhani kama itatokea kwa dp worldKaramagi alijali sana kuhonga viongozi madola manono manono kuliko kujenga capacity in quality service delivery!!
Nilishangaa sana huyu Karamagi kuweza kumuweka hata Jiwe mfukoni!! Ngoja apumzike na TICTS yake tuone na wengine.
usimwekee maneno mdomoniHapo umesema mwarabu lakini kilichokusukuma ni dini yake
Huna thamani ya kuuzika wewe, wenye thamani ya kuuzikq wapo nje huko, wanauzwa kila siku.Wasiishie hapo tu hata watanzania wote tuuzwe tu..
Nilisema wapi? Halafu mi siwezi fanya kazi ya kimaskini na dhalili ya ukarani kama wewe sawa?Wewe karani si mlikuwa mnasema Magufuli alikuwa anasubiri mkataba wa Ticts uishe ili awaondoe na mkaanza kulalamika sana kwamba anataka kuwahujumu ticts wasipewe mkataba mpya?
We unayo thamani ya kuuzika?Huna thamani ya kuuzika wewe, wenye thamani ya kuuzikq wapo nje huko, wanauzwa kila siku.
Hawa Tics mbona walianza enzi mzee wa Lupaso?Halafu enzi za JK walikuwa na makandokando mengi sana hawa TICTS. Wapumzishwe tu ili na wenzao walambe asali.
Una hakika ni mwarabu ndiyo anayeiendesha bandari ya Dubai?Kama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu
Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Bibie umepotea Sana. Nilidhani huko unaishi nursing home wanapotunzwa wazee hapo Alberta au Calgary. Au umerudi kijijini kwenu Mwalusembe Mkuranga?!Huna thamani ya kuuzika wewe, wenye thamani ya kuuzikq wapo nje huko, wanauzwa kila siku.
Actually hicho ndicho kinachotaliwa.Kwa technolojia yao ilivyo kubwa, si ajabu watu wakapunguzwa sana hapo Bandarini. Na wale wenzangu na mimi waliozoea mseleleko, wajipange tu kurudi mashambani.
Kwa hiyo unakiri unabwabwaja tu bila uthibitisho!!?Unahitaji uthibitisho? Unaposema unyang'anyi wa wazungu na wachina unajulikana unao uthibitisho?
Sijamwekea maneno mdomoni,Hana rejea ya hayo anayoyasena,so kasukumwa na nini!?usimwekee maneno mdomoni
Ticts ni kampuni ya kizalendo issue Ni kuwawweesha kufikia target au kuwaondoa ?Ticts wanakwamisha shughuli za uondoshaji wa shehena ,vifaa vichache Bora watoke
Historia yao Kaka sio nzuriNi kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?
Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.
China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.
Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Mwarabu na mzungu nani analipa vizuri mishahara tuanzie hapo kwanza.TICTS kwani wamepewa hati miliki ya bandari yetu? Waondoke wamekaa sana
Inaweza kutokea zaidi ya hivyo, DP world sio malaika kuna nchi pia hawakuwa na ufanisi. Kikubwa waongeze ufanisi kidogo tofauti na waliopo. Kumbuka hii ni bongoKuna meli uwa zinakaa hadi wiki 2 kule nje kusubiri kuingia bandarini,kuna nyingine ukaa pale baadae uamua kuondoka kwenda kushusha au kupakia mombasa,hii kitu sidhani kama itatokea kwa dp world
Unakataa kazi halali?Nilisema wapi? Halafu mi siwezi fanya kazi ya kimaskini na dhalili ya ukarani kama wewe sawa?
Karamagi alimhonga Magufuli madola kwa madola ili andelee kubaki pale Bandarini na TICTS!! Yake