Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

Zama za waarabu koko
 
Wanaowachukia wazungu wanachukia ukristo? Na wanaochukia wachina wanachukia dini gan?
Sijasema kuwa kila mwenye kuchukia race fulani basi lazima achukie na dini/imani ya hiyo race bali mimi nimezungumzia issue ya Muarabu na uislamu, labda uniambie kuwa si kweli na kwamba inawezekana mtu akawachukia waarabu ila asiuchukie uislamu na kinyume chake.
 
Hao jmaa wanakera mno unaweza kwenda kushusha mzigo ukaambiwa mashine leo haifanyi kazi ,then mzigo unaingia storage wale agent wa kutoa mizgo wanajikuta wanaingia lawama kwa wateja kumbe shida ni Ticts

Mashine ipi hiyo Yao ambayo Haifanyi kazi mkuu
 
Nakubaliana nawe ndugu pia kwakuwa wanasimamia sehemu nyingi ni rahisi kwao kufunga magoli mengi zaidi kwa pande hizi za East Africa.


Kwenye po of Jebel dubai endapo wameweza kuendana na kasi ya bandari hiyo "The busy port ever, Port of dar kitu gani, tutegemee ufanisi wa ajabu kabisa!
 
Exactly, mijamaa Ina chuki kweli za kidini aisee
Nyie watu wa dini hiyo mna inferiority, kila muda mnahisi kusemwa na kuonewa. Bandari ya Bagamoyo watu walipinga kupewa wachina, je napo watu walilalamika sababu ya udini?
 
Ni vizuri zaidi maana DP World ni kampuni kubwa kwenye masuala ya handling ya mizigo..
 
Tende,mavazi,lugha,ukaaji na utamaduni kwa jumla vimeingizwa kwenye uislamu watashindwaje kuwaabudu?
 
Umeona sasa sisi tumefundishwa mpende jirani yako kama unavyojipenda. Nyie mnafundishwa kuwa muislamu ndugu yake ni muislamu
Kama MUNGU yuko kwa ajili ya mema unaona kabisa kuna upande upo kwa ajili ya sweitwani kwa matendo yao.
 
Kwasababu waarabu hawajui kutenganisha dini na biashara,wanalazimisha watu kuwa waislam yaani hawaheshimu mipaka ya imani
 
Mi ile kampeni yao ya kila petrol station kuna msikiti unajiuliza ina maana wana usalama hawaoni kama ni hatari?
 
Hao jmaa wanakera mno unaweza kwenda kushusha mzigo ukaambiwa mashine leo haifanyi kazi ,then mzigo unaingia storage wale agent wa kutoa mizgo wanajikuta wanaingia lawama kwa wateja kumbe shida ni Ticts
Muongo mashine ipi haifanyi kazi,kuna mashine zaidi ya 30 pale
 
Muongo mashine ipi haifanyi kazi,kuna mashine zaidi ya 30 pale

Mm pia nimejiuliza hivyo hivyo Kwa maana TICTS mashine zake kubwa Kama ssg crane [emoji911] na rtg zote zinafanya kazi 24 hours na Kuzimwa ni nadra sana labda itokee emergency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…