Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

hiyo video 🀣.
ama kweli watu weusi hatuna rafiki 🀣
 
Source ?
 
Jina kafiri unatakiwa ulizoee tu hasa kama unaamini kuna miungu wengi kama mungu mwana , mungu baba na miungu wengine.
Wewe una ubora Gani kumwita mtu KAFFIR?
Heshimu Imani ya mtu asiyeamini unachokiamini kama wewe w usivyoamini anachokiamini
 
Wewe una ubora Gani kumwita mtu KAFFIR?
Heshimu Imani ya mtu asiyeamini unachokiamini kama wewe w usivyoamini anachokiamini
Lizoee jina la Kafiri utaendelea kuitwa hivyo hadi ubadilike.
 
Wamorocco wanajulikana kwa ubaguzi, kila mtu mweusi wa Afrika anapaswa kujua hilo...

Nchi tu yenyewe inajilaani kuwa sehemu ya ardhi ya bara la Afrika...
Umenikumbusha Morocco walivoingia kwenye semifinals World cup, walivowachana watu kuwa wao sio waafrica kwa hio waafrica tusijisifie sn km bara letu limeingia semifinals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…