Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Kwahiyo alivyo itwa kafiri, kaasirika kiasi gani?
Kwani neno kafiri lina maana gani, ifikie watu muache mambo yenu mujadili Mokwena kuitwa Kafiri?
Alie leta post hii ajue anachochea udini alafu JF haipo kwa lengo hilo.
 
Hiyo sio maana ya kafiri umepotosha.. sio " mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga" neno kafiri halina maana hiyo
 
Huna hoja zozote you're brainwashed jinga wewe
Nfahamu unashindwa kujibu hoja zangu, unaanza kunivaa mimi.

Huo ndiyo ufinyu wa muono, au wewe ni katika kondoo wa wachunhgaji? Hujaenda malishoni leo?
 
Kwanza wacha porojo, hakuna lughha inayoitwa kibantu.

Wewe lugha mama kwako ni ipi?
Wapi umeona nimesema kuna lugha inaitwa ni ya Kibantu? Acha kunilisha maneno, na usijitoe ufahamu kwa makusudi.

Nimetaja MIUNDO YA KIBANTU, MSAMIATI WA KIBANTU, MATAMSHI YA KIBANTU, yaani hayo yametokana na Lugha za Kibantu, mfano: Kimakonde, Kiluguru, Kizigua, Kizaramo, Kigogo, Kisikuma, Kindali,nk...

Usichoelewa nini hapo?
 
Kwahiyo alivyo itwa kafiri, kaasirika kiasi gani?
Kwani neno kafiri lina maana gani, ifikie watu muache mambo yenu mujadili Mokwena kuitwa Kafiri?
Alie leta post hii ajue anachochea udini alafu JF haipo kwa lengo hilo.
Wewe ukiitwa KAFFIR mbele ya watu zaidi ya 60,000 hutoathirika
 
Ukafiri co uafrika tu hata waarabu wapo makafir pia
 
Hiyo sio maana ya kafiri umepotosha.. sio " mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga" neno kafiri halina maana hiyo
Lina maana gani?
Kuna mjusi na mjusi KAFFIR
 
Hakuna watu wanazingua kama wamorocco.
Mimi huwa nawachukia sana aisee hawa wamorocco.
Wamorocco ni Wabaguzi sana wamekorofishana na Waarabu wenzao Algeria na hawaendi sawa kwa miaka mingi tu na ndio wanawasapoti Israel huku Algeria akiwapinga kwa hilo ukiona mswahili anawaona wale ni waislamu wenzie jua kuwa hawajui kabisaa..
 
Nfahamu unashindwa kujibu hoja zangu, unaanza kunivaa mimi.

Huo ndiyo ufinyu wa muono, au wewe ni katika kondoo wa wachunhgaji? Hujaenda malishoni leo?
Mimi ni atheist. Huko madrasa ulifundishwa nini? Babako alifanya kosa kutotumia kondom akatuletea janamke jinga kiasi hiki.
 
Mimi sitaki kujua ila kafiri na mpira wapi na wapi
Wewe hutaki kujua maana ya kafiri, lakini hapo hapo unahoji, "Kafiri na mpira wapi na wapi?"
Basi we ni mpuuzi, mwanafunzi kama wewe ni kukupiga viboko kila siku mpaka mzazi wako akuamishe shule.
 
Wewe hutaki kujua maana ya kafiri, lakini hapo hapo unahoji, "Kafiri na mpira wapi na wapi?"
Basi we ni mpuuzi, mwanafunzi kama wewe ni kukupiga viboko kila siku mpaka mzazi wako akuamishe shule.
Wajinga kama wewe hua nawa ignore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…