Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Sijaona uliposema, nimesoma ulichoandika, kwani ulikuwa unaongelea lugha au porojo tu baada ya kushindwa kuzihesabu asilimia za Kiarabu kwenye Kiswahili?

Niliwhi kuandika hivi, nadhani siku hizo hata JF ulikuwa bado huijuwi:

 
Wamorocco ni Wabaguzi sana wamekorofishana na Waarabu wenzao Algeria na hawaendi sawa kwa miaka mingi tu na ndio wanawasapoti Israel huku Algeria akiwapinga kwa hilo ukiona mswahili anawaona wale ni waislamu wenzie jua kuwa hawajui kabisaa..
mbona kila jambo munalichukulia kidini tu?
Sasa mgogoro wa Morocco na Algeria, waislam na uislam vinaingiaje hapo?
Vijana udini hauna issue huo, tusitengeneze njia ya kuingilia adui.
 
Mbona huwa hamkomi kujipendekeza? Tangu lini Morocco walikuwa Waafrika? Wakati wa World Cup mlijipendekeza kuiunga mkono kuwa ni waafrika wenzenu wakawachaneni kwamba wao wanawawakilisha waarabu, siyo Afrika lakini bado hamkomi.
 
mbona kila jambo munalichukulia kidini tu?
Sasa mgogoro wa Morocco na Algeria, waislam na uislam vinaingiaje hapo?
Vijana udini hauna issue huo, tusitengeneze njia ya kuingilia adui.
Mimi sina udini hata chembe wewe umesoma kama gazeti nilichomaanisha ni kwamba unawashabgilia Morocco wakati wao kwa wao tu hawapatani na ni ndugu moja nenda kwa watu dini ndio uwaambie hizi mambo mimi huko nilishatoka..
 
Wajinga kama wewe hua nawa ignore
Unaendelea kuonyesha kua wewe ni pang'ang'a.
Sasa unadhani ukini ignore nitapungukiwa nini?
Sikujui hunijui huna faida yeyote kwangu na Taifa kwa ujumla.

Kiufupi maana ya KAFIRI huijui wala nini, sema ni shobo tuna Udini vinakusumbua.

Haya kwaheri ya kuonana.
 
Mimi sina udini hata chembe wewe umesoma kama gazeti nilichomaanisha ni kwamba unawashabgilia Morocco wakati wao kwa wao tu hawapatani na ni ndugu moja nenda kwa watu dini ndio uwaambie hizi mambo mimi huko nilishatoka..
Sasa ulipo sema unawashangaa waislam kujipendekeza kwa wamorocco ilhal wamorocco wanawaunga mkono waisrail, ulikua na maana gani?

Au ndio nyie tunawaita hamuchelewi kujizima data?
 
Katika maana na msingi wa neno lenyewe, 'Kaffir' siyo tusi
Katika maendeleo ya lugha na kukua kwa imani na ili kutambuana, sasa hivi wawaitao wengine Kaffir wameipa maana beyond ile ya asili, wamelivalisho hili neno uchafu na sifa zote mbaya, ni kama mtu akikwambia "nipe Tigo" au akisema "nashukuru kwa kunisaidia mawasiliani na nimeweza kuongea na mhusika hii line ya Voda inazingua sana, inaonyesha tigo yako ni mzuri sana".
 
Nini maana ya elimu munayojisifia nayo ikiwa linapokuja swala la waarabu na waisrael huwa hamutumii akili zenu? Ukiwa muislamu kwako waarabu ni watu wasiokosea kwa chechote kile bali ni watu wema mno na ukiwa mkristo wayahudi ni watu wema mno wasiokosea chechote kile....hapa ndipo ninapoamini hamna mtu katili kama mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…