The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ulifanya research kabla ya kuandika huu uzi? Unaijua Kuwait Fund inavyosaidi tena ndani ya Bongo? Umejiridhisha kua hizo nchi hazitoi misaada?Mada inahusu waarabu, ningetaka kuandika kuhusu mali za Afrika ningeandika uzi kwa maudhui ya mali za Afrika kwani najua pia Afrika ni sehemu iliyo barikiwa mali asili nyingi tu.
Akili za kibaguziZipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Vipi wakristo wote wana maisha mazuri? Wamesha saidiwa na wakristo wenzao kutoka nchi tajiri?Ni kweli maskini sio Waislamu tu, lakini mada inahusu utajiri wa waarabu na kushindwa kuwasaidia wenzao katika imani.
Misaada wanayo itoa hailingani na pesa wanazo chezea kwa mambo ambayo ni batili.Ulifanya research kabla ya kuandika huu uzi? Unaijua Kuwait Fund inavyosaidi tena ndani ya Bongo? Umejiridhisha kua hizo nchi hazitoi misaada?
Haya kafanye research kisha waombe Mod's wafute huu uzi.
Hiyo ni mada nyingine, labda tuanzishe uzi kuuliza ni kwanini hawapati misaada kutoka kwa wenzao matajiriVipi wakristo wote wana maisha mazuri? Wamesha saidiwa na wakristo wenzao kutoka nchi tajiri?
Aisee! Nimecheka sana mkuu 🤣🤣🤣Kwa hiyo zile yale mafuta pale Saud Arabia ni mali ya Wasaud au ya Waislam?
Sahihi kabisa, kila mtu ataulizwa alitumiaje mali alizopewa na Mungu wake.Na nyie mtaulizwa mlipewa mali chini ya ardhi ila mkabaki masikini wa kutupwa je mtajibu nini?
Mito inatiririka hata mtumbwi hauna
Madini, na ardhi yote ya kijani
Mvua za kumwaga
Msubiri viboko tu
Ni wapi nimebagua mtuAkili za kibaguzi
Mleta mada hajui kua Bara la Africa ndio lilipaswa kua bara tajiri zaidi kuliko mabara yote.Na nyie mtaulizwa mlipewa mali chini ya ardhi ila mkabaki masikini wa kutupwa je mtajibu nini?
Mito inatiririka hata mtumbwi hauna
Madini, na ardhi yote ya kijani
Mvua za kumwaga
Msubiri viboko tu
Kijana fanya kazi ujihudumie,Dunia inahitaji kupambana na sio kutia huruma.Misaada wanayo itoa hailingani na pesa wanazo chezea kwa mambo ambayo ni batili.
Hakuna haja ya kufuta uzi, kama hujapendezwa nao ni vyema ukapita tu
Kwani wakristo hawawezi kusaidiwa na hao waarabuNi wapi nimebagua mtu
Wapi nimesema nimeshindwa kujihudumia? Wapi nimetia huruma, au nilishawahi kuja PM kukuomba hela ya kula?Kijana fanya kazi ujihudumie,Dunia inahitaji kupambana na sio kutia huruma.
WanawezaKwani wakristo hawawezi kusaidiwa na hao waarabu
Hakuna cha mada nyingine,issue ni hiyo hiyo tu,Hiyo ni mada nyingine, labda tuanzishe uzi kuuliza ni kwanini hawapati misaada kutoka kwa wenzao matajiri
Unaonekana umeanzisha mada ambayo wala hujui maana yake,Wapi nimesema nimeshindwa kujihudumia? Wapi nimetia huruma, au nilishawahi kuja PM kukuomba hela ya kula?
Huna hoja ya msingiFanya kazi kijana acha kutia huruma ya kuwaza kusaidiwa.
Wewe una hoja ya kuwaza kusaidiwa! Ndio nyie mnakuja kuolewa kwa kutaka mtelemko.Huna hoja ya msingi
SawaUnaonekana umeanzisha mada ambayo wala hujui maana yake,
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri.
Huna hojaWewe una hoja ya kuwaza kusaidiwa! Ndio nyie mnakuja kuolewa kwa kutaka mtelemko.