Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #121
Alqaeda na makundi mengine yote yapo chini ya zionism, lengo ni kuuchafua uislamu ili ionekane ni dini ya magaidi.Yamekuwa hayo tena? Osama si ndo alikuwa mmiliki wa alqaida!!!!!???? Na Alqaida si nimojawapo ya magenge ya kumpigania Allah!!!! Humtendei haki Osama kumbagaza
Kama wewe ni muumini utakuwa unafahamu vyema kuhusu siku ya hesabu, siku ambayo kila nafsi itaeleza iliutumia vipi muda wake hapa duniani, na kila nafsi itajibu mbele za Mungu.'Eti wataulizwa na Mungu wao'!
Hivi kutatokea siku wanadamu watawekwa kikao cha hadhara na Mwenyezi Mungu aanze kuwahojiwa maswali ambayo tayari ana majibu yake?
Kwa nini Mungu mnamchukulia poa sana na kumvisha sura ya mtu yenye madhaifu kibao?
Kwa nini mnamtweza M/Mungu kiasi hiki?
Yule Allah wa Hamas na Alqaida na Hezbollah sio Mungu. Ana kesi ya kujibuWao wamtafsiri kwa kiArabu kuwa Mungu ndiye huyo Allah.
Pamoja na boko haram na Alshabab? Lakini kila wakipga tukio wanaimba kale ka wimbo maarufu "Allahu Akbar"Alqaeda na makundi mengine yote yapo chini ya zionism, lengo ni kuuchafua uislamu ili ionekane ni dini ya magaidi.
Kusema hivyo kila mtu anaweza kusema, pia kama huamini kuhusu hayo ni vyema ukafanya tafiti zaidi.Pamoja na boko haram na Alshabab? Lakini kila wakipga tukio wanaimba kale ka wimbo maarufu "Allahu Akbar"
Mwenyezi Mungu hana watoto, hana Baba wala mama, hakuzaa wala hakuzaliwa.Watoto wa mnyaazi mungu mnaweza kuchekesha maiti kabisa
Ok! Vipi kuhusu kikundi kinachojiita Islamic jihad?Kusema hivyo kila mtu anaweza kusema, pia kama huamini kuhusu hayo ni vyema ukafanya tafiti zaidi.
Vipo vitabu vinavyoeleza kuhusu hayo makundi na ni nani anayafadhili, ninavyo na ukitaka nitakupa.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Hakuna kikundi chochote ambacho kina husiana na uislamu halisi, hao wote ni wahuni tu.Ok! Vipi kuhusu kikundi kinachojiita Islamic jihad?
Mmmhh! Watu wanadai imeandikwa kwenye Quran tukufu kwamba msiwe karibu na sisi na mtuchije kwa upanga.Hakuna kikundi chochote ambacho kina husiana na uislamu halisi, hao wote ni wahuni tu.
Uislamu haujatuma watu kuuwa watu wasio na hatia, kujilipua au kuchoma makanisa.
βwatu wanadai"Mmmhh! Watu wanadai imeandikwa kwenye Quran tukufu kwamba msiwe karibu na sisi na mtuchije kwa upanga.
Nani kasema tz hakuna mafuta, hakuna gesi, hakuna neuclear.Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Naanza kukuelewa! Uwe na usiku mwema. Ngoja nibet kwanza nipate mafuta ya kwenda Chamanzi keshoβwatu wanadai"
Lakini ukisoma Quran bila kuruka au kufupisha maneno ndyo utapata maana sahihi.
Uwe na usiku mwema pia, ila huo mkeka usuke vizuri usije ukakosa mafuta ya kwenda Chamanzi.Naanza kukuelewa! Uwe na usiku mwema. Ngoja nibet kwanza nipate mafuta ya kwenda Chamanzi kesho
Galatasaray na Bayern wako vzr wasiwas wangu huyu man u. πππUwe na usiku mwema pia, ila huo mkeka usuke vizuri usije ukakosa mafuta ya kwenda Chamanzi.
Kafiri hata ukimficha kwenye chupa lzm atoe kidole kuonyesha kuwa bado yupo.Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Ukibisha, thibitisha yupo.
Mi si mkristu wala muislamu.Nani kakuambia Warabu hawasaidii umewahi fatilia Gulf states zinavyo saidia masikini, hebu soma hapa utaona mpa wakristo mnasaidiwa haswa wafrica π Mpaa US anasaidiwa na warabu.
Mkuu hapa sijaelewa kabisaLkn pia itikadi ya nchi inaumiza.
Tz tumeamriwa na ccm tufate itikadi ya Uesherati (Secularism) badala ya kusimama na serikali ya Uadilifu.
Hivyo tutahitaji kuwa na serikali ya dini zote badala ya hii isipokuwa na dini
Basi madai kwamba mitume wote walikuwa waislamu ni uongo ulio dhahiri.Waislamu ni binadamu kama wengine, na Uarabuni ndyo chimbuko la dini yao, sasa siwezi kukaa kimya nikiona waarabu wanawatenga na kutowasaidia ipasavyo waislamu wenzao duniani.