Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe bibi,Ma shaa Allah, damu nzito kuliko maji.
View attachment 2672339
Ma shaa Allah Mama wa Kisaudi[emoji1483] ana tofauti ipi na mama'etu jamani? Mule mule tu.
Hahaha..........lakini zinazotumika kibongo bongo ni shilingi na hizo dollarShillingi tena siku hizi kuna Brics, unalipwa kwa dhamana tu. Hata Dollar sitaki.
Mambo ya kizamani hayo. Upo miaka 100 nyuma.
Unataka wamfanye hanisi kama walivyo wafanya mababu zetu?[emoji3][emoji3]Unafanya kazi gani nikupigie debe kwa Waarabu?
Hawa walimtisha Rais mstaafu Ali hasani Mwinyi, alipotaka kuwaita watu wa mashariki ya kati kuwekeza nchini.Huyu mama ni Mwaarabu au anawapendelea waarabu
Pesa siku hizi ni dhamana tu duniani huko. Mnaoshika shika noti za makaratasi ni Afrika tu. Uchafu mtupu.Hahaha..........lakini zinazotumika kibongo bongo ni shilingi na hizo dollar
Niombe nami unifanyie marketing ya kiwanda changu cha matunda kina wiki 9 tangu nikisajiri, seems you are good at it
Sehemu zote walizopita WAARABU WAMEACHA LAANA.
1. USHOGA.
2. Umasikini ulio topea.
3. UJINGA. HAWATAKI KUSOMA Elimu dunia wanaitaka chuo.
4. Ukandamizaji WA Mwanamke.
5. Ndoa za Mitaala.
Kwahiyo wewe unalipaje bills maeneo ambayo hakuna huduma ya kulipa kwa kadi?Pesa siku hizi ni dhamana tu duniani huko. Mnaoshika shika noti za makaratasi ni Afrika tu. Uchafu mtupu.
Mie Tanzania huwa naona Kinyaa kuhesabu pesa.
Mwengine anajikuna ukurutu, mwengine anajikuna chini huko. Wanasema jelanhukonwsnsingiza huko nyuma kuzificha.
Wanasayansi wanasema pesa ni chafu kuliko vyoo:
Paper money can reportedly carry more germs than a household toilet. And bills are a hospitable environment for gross microbes: viruses and bacteria can live on most surfaces for about 48 hours, but paper money can reportedly transport a live flu virus for up to 17 days.
Tafsiri yake 👇🏾 kqa msaada wa google 👇🏾
Pesa za karatasi zinaweza kubeba vijidudu zaidi kuliko choo cha nyumbani. Na noti zina mazingira ya kusitiri vijidudu hatari: virusi na bakteria wanaweza kuishi kwenye sehemu nyingi kwa takriban masaa 48, lakini pesa za karatasi zimechunguzwa kusafirisha virusi vya mafua hai kwa hadi siku 17.
Majanga.
unato.....Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."
Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.
Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.
Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.
Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.
Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi
View attachment 2672331
View attachment 2672272
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.
faiza, hakuna mwenye shida na uarabu au uislam. tuna ndugu waarabu na waislam pia. hivyo usijeleta chokochoko ukiamini kuna watu wana negative attitude against arabs, watu wanachopinga sio uarabu au uislam, ni vipengele vya mkataba visivyo sawa. vingekuwa sawa, tunapenda waarabu waje hapa wawekeze.Saudi Arabia ina mfuko wa uwekezaji usiopungua Dollars billioni 700 za kuwekeza ndani na nje ya nchi yao inawekeza fedha hizo katika makampuni, mali zisiyohamishika (real estate) na ubia mwingine wa ndani na kimataifa ili kuzalisha faida.
Watanzania tuotumie furda hii kuingia ibia na mashirika makubwa ya uwekezaji ya Saudi Arabia.
Mbona unamsahau Gwajima alisema nini kmwambia Magufuli kuhusu uhusiano wa Tanzania na Israeli ??faiza, hakuna mwenye shida na uarabu au uislam. tuna ndugu waarabu na waislam pia. hivyo usijeleta chokochoko ukiamini kuna watu wana negative attitude against arabs, watu wanachopinga sio uarabu au uislam, ni vipengele vya mkataba visivyo sawa. vingekuwa sawa, tunapenda waarabu waje hapa wawekeze.
cha kushangaza, wapo watu kwasababu ya dini, wanaona bora hata tuuze nchi kwasababu inauzwa kwa watu wanaoamini ni wa imani yao, waliowaletea lugha itakayoongelewa kwenye akhera yao, hiyo ndio shida. akili mbili tofauti zinabishana, moja inaongea hoja, nyingine imefumbwa macho na dini.
Ila wewe bibi,
Mfano itokee wewe unakuwa rais wa hii nchi naona wakristo wote utawafukuza.
Waarabu wangekuwa wameenda sana shule kuliko wagalatia (duniani kote)huyu bibi tungemkoma!.
Nazungumzia elimu dunia sio ile ya kuandika kutoka kulia kurudi kushoto
Kuchukua bandari za Tanganyika kimabavu kwa mkataba wa milele ni dhuluma kubwa sana iliyokinyume na yenuKwanini? Mie Muislam, kwani nimeonesha chuki yoyote kwa Mkristo?
wewe huelewi historia ya Uislam.
Waislam walipoteswa na kutaka kuuliwa kwanza huko Makkah Mtume Muhammad akawaambia wakimbilie Uhabashi (Abyssinia) Huko wakapokelewa na mfalme Mkristo Nagash.
Soma zaidi:
![]()
Migration to Abyssinia - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Huwezi kukuta Muislam asiyekuwa mwema kwa wasio Waislam.
Mnajazwa ujinga tu na wenye chuki na Uislam.
Ingekuwa Waislam. Wanachuki na Ukristo leo hii Uislam usingekuwa dini inayokuwa kasi sana duniani.
Makundi kwa makundi ya Wakristo yanarudi katika Uislam.