Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Usijifaraghue wewe na kujibaraguza bila ya sababu. Hata mantiki ndogo tu unashindwa kuielewa!!Mbona Biblia inasema kinyume kabisa na wewe? Soma:
Wagalatia 3:
13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Au umekosea? Si unamuona Paulo anakufundisha nani aliyelaaniwa.
Hiyo hoja siyo ya bandiko hili. Wewe si huwa hutaki hoja toka kwa watu wa Magharibi leo iweje ulete nukuu toka Bloomberg? Ni lini umeanza kuwaamini hao walaanika!!??