Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."

Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.

Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.

Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.

Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.

Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi​

View attachment 2672331

View attachment 2672272

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.
Acha waarabu waje kwa wingi kuwekeza ndio wenye fedha, na wanamuogopa mwenyezi mungu,tuache ujinga na wivu sisi bado ni maskini sana tuache jeuri
 
Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."

Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.

Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.

Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.

Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.

Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi​

View attachment 2672331

View attachment 2672272

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.
Safi sana Rais Samia,lazima utumie fursa Yako ya upande unaofahamiana zaidi Kwa faida ya Nchi Yako..

Kuna yule mwingine hakuwa na anamjua akawa anazurura kufika hovyo 😂😂
 
Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."

Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.

Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.

Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.

Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.

Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi​

View attachment 2672331

View attachment 2672272

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.
Acha waje wawekeze maana wazungu mrusi kisha wafilisi
 
Saud Arabia waje wachukue Bunge, Polisi na Mahakama, maana navyo vimeshindwa kujiendesha
 
Kwanini wamiminike waarabu tu na siyo wengine ?
Kwasababu hamuoni nenda zako migodini ni wazungu watupu na wao ndio wizi balaaa wanaiba madini ya tanzania lakn watu mmelala mmepakwa matope kwenye ubongo mnaona waarabu tu 🤣🤣🤣
 
Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."

Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.

Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.

Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.

Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.

Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi​

View attachment 2672331

View attachment 2672272

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.
Afadhali waje maana huku vijijini tembo wameanza kuharibu mazao yetu.
 
Kazin
Naona mzee ulikuwa kimnya wakati wa bwana yako magufuli ilifika mpaka ulihalalisha kitendo cha tundu lissu kupigwa marisasi leo umekuwa kinana wa kupiga kelele baada ya kukosa ubalozi.
Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Waichukue na ccm bila kusahau na bunge
Hilo tayari mbona. Cheza na Dirham wewe?

Saa hizi watu tupo bize tunawatafutia wajukuu waume Wakiarabu wa Dubai, wewe bado upo bungeni?

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Hakuna mtu mshenzi kama Dr Slaa,haka kazee kamejaaa ukatoliki ndio maana hakakuwahi kuona udhaifu wa magufuli hata siku moja.
Lengo la Slaa anataka akamatwe ili apate Kiki.

Mwacheni aongee upujzi wake muda ukifika atakaa kimya.

DP World kwa sasa hawaepukiki maana utapeli Bandarini umekithiri,Sasa Kama Slaa anawaona DP world kwa jicho la vilemba atendelea kuumiza moyo.

Maana Hata England DP worl wapo na huko ni kwa wazungu wanaotuzidi kila kitu sisi ni nami hadi tuikatae DP world wakati tunataka kuwa HUB ya Afrika Mashariki.
 
Sehemu zote walizopita WAARABU WAMEACHA LAANA.

1. USHOGA.

2. Umasikini ulio topea.

3. UJINGA. HAWATAKI KUSOMA Elimu dunia wanaitaka chuo.

4. Ukandamizaji WA Mwanamke.

5. Ndoa za Mitaala.
Unamaanisha Uke ushoga unaonadiwa Marekani na Nchi za ulaya nako umepelekwa na waarabu?
 
Sasa hivi Wana ndege ya moja kwa moja kwenda saudia kupitia Zanzibar
 
Saudi Arabia ina mfuko wa uwekezaji usiopungua Dollars billioni 700 za kuwekeza ndani na nje ya nchi yao inawekeza fedha hizo katika makampuni, mali zisiyohamishika (real estate) na ubia mwingine wa ndani na kimataifa ili kuzalisha faida.

Watanzania tuotumie furda hii kuingia ibia na mashirika makubwa ya uwekezaji ya Saudi Arabia.
Lakini sio kwa mkataba ule wa DPW na URT.

Vv
 
Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..."

Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai.

Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni.

Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa Mfalne na mrithi mtarajiwa wa kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia (Crown Prince), Lakini kijana huyu kishaanza muda sasa, kuiongoza Saudi Arabia kwa baraka zote za baba'ke.

Mama Samia Suluhu katika harakati zake za kuiletea maendeleo a mabadilikobys uchumi Tanzania kutoka kwa wawekezaji. Alishatembelea Saudi Arabia katika pirika pirika zake. Kwa hiyo tutegemee mema sana ya uwekezaji kutoka Saudi Arabia.

Tanzania, Saudi Arabia zaahidi kukuza maendeleo ya kiuchumi​

View attachment 2672331

View attachment 2672272

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng Hamad Masauni amesema Tanzania na Saudi Arabia zimekuwa zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na zikishirikiana katika kukuza ustawi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi hizo mbili kutokana na uhusiano bora wa kirafiki na ushirikiano mzuri kwa miaka mingi.
Sehemu zote walizopita WAARABU WAMEACHA LAANA.

1. USHOGA.

2. Umasikini ulio topea.

3. UJINGA. HAWATAKI KUSOMA Elimu dunia wanaitaka chuo.

4. Ukandamizaji WA Mwanamke.

5. Ndoa za Mitaala.
Bado hujawasoma vizuri Waarabu naona chuki Tu zimekutawala,suala la ushoga zaidi lilo ktk nchi za Ulaya ambao wako wazi juu ya Hilo au ww unafumba mafikio na macho?ni nchi gani ya Kiarabu iliyohalalisha ushoga?Fanya tathmini ni bars Arabu au Ulaya kwenye mashoga!
 
Umeanza lini kushabikia taarifa toka kwa "walaanika"?

Mbona Biblia inasema kinyume kabisa na wewe? Soma:

Wagalatia 3:
13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;

Au umekosea? Si unamuona Paulo anakufundisha nani aliyelaaniwa.
 
Back
Top Bottom