Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

Mbona unamsahau Gwajima alisema nini kmwambia Magufuli kuhusu uhusiano wa Tanzania na Israeli ??
kwani kuwa na uhusiano na isral kuna shida gani we shetani? kama tuna uhusiano na saudi arabia ambako kuna kaburi la mungu wenu kwanini tusiwe na uhusiano na israel? mnakulaga nini nyie huko hadi mnakosa akili?
 
Kwa hiyo Uarabuni ni damu na Tz ni maji na umesema kabisa damu ni nzito kuliko maji!! kumbe!! inafikirisha sana hasa kipindi hiki cha sakata la mkataba wa bandari!
Hufahamu Kiwaswahili. Uliza wanaojuwa Kiswahili wakufahamishe maana ya methali hiyo. Umeona kuna "maji" nimeyataja hapo?

Huko kwenu ni "mbinguni" ipi hiyo hawaongei Kiswahili? Wewe kwenu itakuwa ni kuzimu siyo mbinguni. Umesahau.
 
kwani kuwa na uhusiano na isral kuna shida gani we shetani? kama tuna uhusiano na saudi arabia ambako kuna kaburi la mungu wenu kwanini tusiwe na uhusiano na israel? mnakulaga nini nyie huko hadi mnakosa akili?
Kaburi la mungu tena, fanya heshima kidogo. mungu gani huyo anaezikwa?

Uhusiano na Israel ulikuwepo na ubalozi walikuwa nao aliyeuvunja uhusiano ni Nyerere.

Hapo ndiyo umshangae mwendazake kwa unafik wake, alikuwa anajidai anampenda sana na kumuenzi sana Nyerere, mbona hilo la Israel hakumuenzi Nyerere?
 
Nilikuwa nakuheshimu sana kama Muisilamu mwenzangu, lakini baada ya maprofesa wasomi na wanazuoni kuuchambua huu mkataba, samahani dada yangu niseme nimekuzarau,

Sababu hata dini yetu ya Kiisilamu inazungumzia Taifa au inchi yeyote yenye wasomi ni msada kwa kuliokoa taifa lake lisiangamie, sasa sijui wewe Uisilamu wako uko kimapenzi zaidi bila kujua hao waarabu hawana hata chembe ya huruma linapokuja suala la utu? Heri mzungu
 
Hufahamu Kiwaswahili. Uliza wanaojuwa Kiswahili wakufahamishe maana ya methali hiyo. Umeona kuna "maji" nimeyataja hapo?

Huko kwenu ni "mbinguni" ipi hiyo hawaongei Kiswahili? Wewe kwenu itakuwa ni kuzimu siyo mbinguni. Umesahau.
Unachokikataa ni kipi? soma tena post yako!! Umesema hivi: "Ma shaa Allah, damu nzito kuliko maji." Na sasa unadai hujayataja maji!! Ukikataa wakati umeyataja maji inaonesha umepaniki maana nia yako ovu imefunuliwa!!
 
Wamekukosea nini?
Kwa sababu linapokuja suala la Uarabuni na Tanzania wanadai bila aibu kuwa "damu ni nzito kuliko maji"!! Nikunukuu wewe mwenyewe hapa, ulisema "Ma shaa Allah, damu nzito kuliko maji."
 
Mstaarabu.

Wewe siyo mstaarabu?
Ustaarabu huuwezi kuuona kwenye sura!! Uarabu wake ndio uliokugusa kiasi cha kusema "Ma shaa Allah, damu nzito kuliko maji." Unaposema damu unamaanisha nasaba!! Unatuambia kuwa mama ana nasaba na uarabu!! hiyo ndiyo damu!! Tz ni maji!! na kila mmoja amekusikia kwenye post yako #16.
 
Bahati mbaya kuna watu wanachuki za udini tu roho zinawauma hapa angekuja mfano kama wale matepeli sijui Sullivan kimyaa. nchi hizi za kiarabu wana pesa na pesa zao wana invest dunia nzima kama biashara huko USA tu wana pesa kibao kila sehemu wamewekeza sasa wananunua team za England pesa inaongea ila ni business sasa sisi tutalia sana maana anayewekeza hapa na bado kwenye miradi haina tija ni hawa sijui taasisi za NSSF pesa za wastaafu hawana wealth fund. Hawa wenzetu pesa za utajiri wameunda kampuni ya utajiri wa nchi na kuwekeza duniani kukuza utajiri wao ndio maana hawaingii miradi haina kichwa wako more business mission huku kwetu wanaleta peanuts tu huko kwa soko huru wana billions of money invested
 
Wengine kama nani?
Hapo ndio utajuwa issue sio uwekezaji udini ndio unasukuma hizi chuki dhidi ya Rais wetu lakini kuna uwekezaji mkubwa sana unakuja LNG lakini kama utasikia mtu anaongea wala PSA hawataiona lakini kimya. Kitu tofauti hawajui nchi za kiarabu zina wealth fund dhumuni lao kuwekeza na wamewekeza mpaka huko Google, Apple na sehemu kibao wako kila sehemu. Hapo umemuuliza vizuri wengine kina nani sasa mawili atarudi kujibu ndio utajuwa ni nani au ndio ataingia mitini
 
Watanzania tuotumie furda hii kuingia ibia
Umepaniki hadi kiswahili kinakukimbia!!! Unafahamika kwa kusahihisha makosa ya kiuandishi humu na huwa unawaambia watu kuwa shuleni wamesomea ujinga!! Sasa tuambie wewe hayo maneno ya "tuotumie furda na ibia" ulifundishwa wapi??
 
kwani kuwa na uhusiano na isral kuna shida gani we shetani? kama tuna uhusiano na saudi arabia ambako kuna kaburi la mungu wenu kwanini tusiwe na uhusiano na israel? mnakulaga nini nyie huko hadi mnakosa akili?


Mbona umetaja Saudi Arabia nilifikiri utasema Waarabu ??

Naelewa wewe unaipenda Israeli nchi ya mashoga wenzako sikushangai kwani hata mungu wako walimvua chupi Gesthemane πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Arab pet!
 
Aliwapendea kwenye mifumo ya ulinzi wake ikiwemo wamsaidie kumnasa swahiba wake kigogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…