Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

Usijifaraghue wewe na kujibaraguza bila ya sababu. Hata mantiki ndogo tu unashindwa kuielewa!!

Hiyo hoja siyo ya bandiko hili. Wewe si huwa hutaki hoja toka kwa watu wa Magharibi leo iweje ulete nukuu toka Bloomberg? Ni lini umeanza kuwaamini hao walaanika!!??
 
Kwa nini waislam hamuamini katika kufanya kazi ili kujiletea maendeleo
Sifahamu kigezo chako cha maendeleo ni kipi? Kama ni utajiri ndiyo maendeleo, basi tulinganishe matajiri wa Tanzania na Duniani tuone nani zaidi.

Mie Naanza na wafanya maendeleo 10 wakuu wa Tanzania:

1) Bakhresa
2) Mo
3) Oil Com
4) Azania
5) Rostam
6) Abood
7) GSM
8) Mafuruki
9) Manji
10) Fida Hussein Rashid.

Hivyo ni baadhi tu ya vigogo vya maendeleo, sasa wale kina mwenzangu na wewe, toka nje tu mtaani kwenu ujipime.
 

Tulia sindano ikuingie, umelikoroga mwenyewe sasa linywe. Faidika na darsa ndogo ya FaizaFoxy :

Si umeleta wewe kuhusu "walaaniwa"? Au umesahau. Mimi nakuonesha kutoka kwenye biblia nani "walaaniwa" au wewe huiamini biblia?

Sasa wasome Waarabu kutoka ndani ya Biblia;

Mwanzo 17:
20
Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.

Nikuongeze? Au zinatosha kwa leo? Biblia imewaita "maseyedi" unawajuwa maseyedi, kama vile ukisikia Seyid barghash, usifikiri Seyid ni jina hilo, ni utukufu kutoka ndani ya biblia.
 
Ni mjinga pekee anaweza kukataa wawekezaji, tatizo letu ni terms za mkataba wala hatukatai wawekezaji, kama hakutakuwa na vipengele vya kitapeli sisi hatuna shida hata huyo mfalme ahamie Ikulu ni sawa.
 
Ni mjinga pekee anaweza kukataa wawekezaji, tatizo letu ni terms za mkataba wala hatukatai wawekezaji, kama hakutakuwa na vipengele vya kitapeli sisi hatuna shida hata huyo mfalme ahamie Ikulu ni sawa.
 
Sawa, waje tu wa kutosha, hatuna baya sie hata wakituchukua wote watuhamishe kwao.
 
 

Attachments

  • 67C3F06C-0A63-4E33-BA1C-E0447A703ED6.jpeg
    51.3 KB · Views: 3
Huyu Faiza ni mdini sana,ipo siku atajitokeza hadharani na kuitangaza rangi yake hamtaamini,
 
Nanyie mna dolla bilioni gani zakukeza ndani na nje ya Tanzania?

Au kazi yenu ni kuhesabu hela iliko kwenye mifuko ya watu wengine?
 
Kwa mikataba kama ya DPW, hakuna mjomba wa kutuletea maendeleo bali sisi wenyewe. Pili bila kutumia akili hakuna maendeleo pamoja na rasilimali kibao tulizonazo na tuataendelea kuwa shamba la bibi.
 
Kwa mikataba kama ya DPW, hakuna mjomba wa kutuletea maendeleo bali sisi wenyewe. Pili bila kutumia akili hakuna maendeleo pamoja na rasilimali kibao tulizonazo na tuataendelea kuwa shamba la bibi.
Watauza zote soon.
 
huwezi kuendelea kwa kutegemea uletewe maendeleo na si kufanya kazi na kujiletea maendeleo.

Saudia imesimama kwa kusimamia rasirimali zao vizuri na kujiletea maendeleo wenyewe na si vinginevyo
 
Hawa watesaji wa mahousegirl wao hata muislamu mweusi ni kafir tu.
 
Tulia sindano ikuingie, umelikoroga mwenyewe sasa linywe. Faidika na darsa ndogo ya FaizaFoxy :
Wewe mzee uwezo wako umegotea hapo hausadiki.

Unaandika kingine unatafsiri kivingine. Bila shaka na wewe umo kwenye lile kundi la wasiojua wanaoitwa "washauri".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…