Usijaribu kushawishi taifa letu liingie kwenye mgogoro usio na tija,uje usababishe tupoteze territory kwa hiden enemy,najua TISS wanajua hili,najua nchi haitajiingiza vitani kwa kukulupuka kufata maneno ya watu ambao hawajawahi kuingia frontlineHata kiuchumi hujui TRA kwa Congo inakusanya kiasi gani?
Unataka kusema yale yale ya Syria yanataka kujitokeza?Nadhani lile shambulio la kupindua lilikua jaribio tu ,Sasa wameona kuingia Kwa style Ile ni ngumu
Waamua kuja Kwa style hii ya kuasi na mbaya zaidi huko waliko anzia ndio siku zote ni njia rahisi kufika Lubumbashi
Akili yako huitumii sawa sawa!Usijaribu kushawishi taifa letu liingie kwenye mgogoro usio na tija,uje usababishe tupoteze territory kwa hiden enemy,najua TISS wanajua hili,najua nchi haitajiingiza vitani kwa kukulupuka kufata maneno ya watu ambao hawajawahi kuingia frontline
Kwa akili yako unajua hidden enemy tutakapo jaribu kupigana na rwanda,au unadhani vita ni sawa na kucheza game la toyi??Akili yako huitumii sawa sawa!
Vipi na suala la wakimbizi kwa mikoa ya jirani nalo hulioni?
Ndio hayo unayoyaona,hapo Felix inabidi ajipange haswaUnataka kusema yale yale ya Syria yanataka kujitokeza?
Habar zimekaa kipumbavu pumbavu sanaaMara tunasikia SA na washirika wake wamekisambaratisha kikosi cha M23! Mara M23 wameiteka Goma! Habari mchanganyiko!
Ananikera sana Felix , namuona moumbabu kabisa yani. He is the one to blame...Ndio hayo unayoyaona,hapo Felix inabidi ajipange haswa
Nilitegemea Felix angekua na mkakati wa kule east lkn nashanga anafeli namna hiiAnanikera sana Felix , namuona moumbabu kabisa yani. He is the one to blame...
لا أفهم ما تكتبهIkiharage
Habari za vita ni ngumu kupata full info, mara nyingi inategemea uko upande Gani wa kupata habariHabar zimekaa kipumbavu pumbavu sanaa
Hii kubwa sana na ni hali ya tishio!Ndio hayo unayoyaona,hapo Felix inabidi ajipange haswa
Wewe umeniandikia kwa lugha ipi?Naona unaendelea kutangaza utamaduni wenu wa Kiarabu na lugha yenu kwanini usiandike kwa lugha kiswahili tu?
Mmmh ,naona hii ngoma ngumu, maana kama M23 imemuweka mbele Cornele Nangaa Yobeluo maana ake wanataka sapoti ya wacongo ,hasa upande huo ulikoanzia vita , Kwa waluba ambao wengi hawamoendi FelixHii kubwa sana na ni hali ya tishio!
Njia kama aliyoitumia kabila kwa kuomba nchi za jirani zimsaidie kama vita ya Congo ya awamu ile inaweza kumsaidia?
Kagame anahitaji vikwazo vya mabeberu Ili kukomesha hizo vurugu.Wakuu,
Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa nord Kivu wa Goma.
==================================================
The humanitarian crisis in the Democratic Republic of Congo intensifies as Rwanda-backed M23 rebels advance towards Bukavu, taking control of Goma. Over 500,000 people have been displaced in January alone, and tensions between Congo and Rwanda have escalated. The international community urges for a ceasefire to prevent further conflict.
Duh!Mmmh ,naona hii ngoma ngumu, maana kama M23 imemuweka mbele Cornele Nangaa Yobeluo maana ake wanataka sapoti ya wacongo ,hasa upande huo ulikoanzia vita , Kwa waluba ambao wengi hawamoendi Felix
Sawa sawa ila hata yeye Nangaa akifanikwa kuchukua nchi ni Yale Yale tu ya Muzee Kabila maaana atakua kaingizwa madarakani na Wanyarwanda. Je wamekubaliana nn ili yeye afike Kinshasa?Hii kubwa sana na ni hali ya tishio!
Njia kama aliyoitumia kabila kwa kuomba nchi za jirani zimsaidie kama vita ya Congo ya awamu ile inaweza kumsaidia?