Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Tukiwekeana vikwazo tutauwana njaa, kumbuka tunategemeana kiasi fulani mfano tunapopeleka bidhaa tunavuna pesa zao au wanapotumia miundombinu yetu tunapata Kodi yao.
😄😄 Nchi maskini za kiafrica zinaweza kumuwekea vikwazo Nani?Tatizo Ni kudhani sababu superpower nations(USA& Western countries) zinaweza kuweka vikwazo Basi na nchi zozote tu zinaweza kuweka vikwazo.

Wao wanaweka vikwazo sababu ya unatumia Dollar yao,Mifumo ya kibank Ni Yao,Technology Yao, Multinational corporations(MNC) Ni zao Yaani almost kila kitu Ni Chao.

Waafrica vikwazo watakavyoweza kuwekeana Ni vya kuzuia kuuziana Mahindi,Michele,Mihogo,Viazi labda na kutumia bandari zao nje ya hapo tuna Tech. Gani Ya kusema bila hio nchi zitakwama?😄😄
 
Wanajeshi wa DRC kuwa Uganda sio ishu, huenda wanapewa mafunzo na jeshi la Uganda au inakuwa rahisi kwao kufanya baadhi ya kazi kutokea upande huo.
Serikali kusaidiana kijeshi ni jambo la kawaida, hata jeshi la Rwanda lilienda Msumbiji kupambana na waasi kwa maombi ya Rais wa nchi hiyo.
nini maana ya serikali ? na kipi kinaipa serikal uhalali?
 
Watutsi wa kitanzania hao ndio wepi?
tembea ujifunz acha kuish kwa kusubir bbc au aljazeera wakuambie , watutsi wapo wengi sana tz kwa kivuli cha makabila ya kiha au wahangaza na wapo ambao wanrudig kwao either burund au rwanda , nmesoma nao watano ambao atleast kila likizo walikuwa wanarud rwanda kusalimia
 
Tukiwekeana vikwazo tutauwana njaa, kumbuka tunategemeana kiasi fulani mfano tunapopeleka bidhaa tunavuna pesa zao au wanapotumia miundombinu yetu tunapata Kodi yao.
Ndo maana ya vikwazo, tabia Yale sio mzuri. Wote ukanda huu tunaomzunguka tumuekee, na hata sadc na wengine,
Angalia video

Anaomba msaada ya ulaya hi ni kukosa ushirikiano hapa Africa.
 
😄😄 Nchi maskini za kiafrica zinaweza kumuwekea vikwazo Nani?Tatizo Ni kudhani sababu superpower nations(USA& Western countries) zinaweza kuweka vikwazo Basi na nchi zozote tu zinaweza kuweka vikwazo.

Wao wanaweka vikwazo sababu ya unatumia Dollar yao,Mifumo ya kibank Ni Yao,Technology Yao, Multinational corporations(MNC) Ni zao Yaani almost kila kitu Ni Chao.

Waafrica vikwazo watakavyoweza kuwekeana Ni vya kuzuia kuuziana Mahindi,Michele,Mihogo,Viazi labda na kutumia bandari zao nje ya hapo tuna Tech. Gani Ya kusema bila hio nchi zitakwama?😄😄
Akiwekewa anaweza kuumia ndugu , hata no fly zone kwa ndege zao, huko.
 
tembea ujifunz acha kuish kwa kusubir bbc au aljazeera wakuambie , watutsi wapo wengi sana tz kwa kivuli cha makabila ya kiha au wahangaza na wapo ambao wanrudig kwao either burund au rwanda , nmesoma nao watano ambao atleast kila likizo walikuwa wanarud rwanda kusalimia
Watutsi ninaowafahamu Mimi , Ni wale waliopewa uraia hapa, na Ni wale waliotoka rwanda 1959, 1973 na wale wa 1994, na wengine walirudi. Na watotowao wanajulikana.
Ila niliokuwa nawamaanisha watutsi wenye uasili haphapa ndo nilikuambia ndio wepi hao?
 
Akiwekewa anaweza kuumia ndugu , hata no fly zone kwa ndege zao, huko.
Unajua maana ya no fly zone lkn?Au unadhani Tz,Kenya,Uganda zikisema hatuitaki Rwandair kwny anga zetu hio ndio inaitwa NO FLY ZONE?Katafute maana ya Hilo neno then urudi hapa tena boss.

Na ukishajua maana yake then ujue tena,"You don't just "that's a no-fly zone'. You have to enforce a no-fly zone.
 
Bukyanagandi
Kweli mkuu kwa mtu kagame anatakiwa kupewa vikwazo hasa vikwazo, mtu Kama yule aliyehusika na vifo vya Marais wa 3 wa Africa, na vifo vya watu 1 million na 6+ Congo, na hata anatishia kuuwa rais kikwete.
Mtu Kama kunauhitajika was kuweka vikwazo hasa, Cha kushangaza wanopiga kelele Ni Felix na Kenyatta tuu wengine wall, hasa bill kusahau watu kule Congo wanakufa Sana na wamama kubakwa mkuu Ni KITU Cha kusikitisha Sana. Sasa Felix anaomba msaada kwa wengine.

Hapa Africa jamaa anahitajika kuwekewa vikwazo ikiwemo kuzuia hata bidhaa zake kuuzwa nchi zingine na kuto kumpelekea bidhaa hata msosi akase tuu.
Pia No fly zone kwa ndege zao.

Viongozi wa africa ni wanafiki sana hawezi vitu kama hivyo mkuu, hata kuzuia hizo ndege zao kuruka kwenye anga za nchi zingine, na kuweka vizuizi flani vya kwa rwanda hawawezi mambo hayo ni uoga na unafiki tuu.
Akiwekewa anaweza pata madhara pia. Hasa nchi zinazomzunguka.
 
Bukyanagandi
Kweli mkuu kwa mtu kagame anatakiwa kupewa vikwazo hasa vikwazo, mtu Kama yule aliyehusika na vifo vya Marais wa 3 wa Africa, na vifo vya watu 1 million na 6+ Congo, na hata anatishia kuuwa rais kikwete.
Mtu Kama kunauhitajika was kuweka vikwazo hasa, Cha kushangaza wanopiga kelele Ni Felix na Kenyatta tuu wengine wall, hasa bill kusahau watu kule Congo wanakufa Sana na wamama kubakwa mkuu Ni KITU Cha kusikitisha Sana. Sasa Felix anaomba msaada kwa wengine.

Hapa Africa jamaa anahitajika kuwekewa vikwazo ikiwemo kuzuia hata bidhaa zake kuuzwa nchi zingine na kuto kumpelekea bidhaa hata msosi akase tuu.
Pia No fly zone kwa ndege zao.

Kweli, ila vikwazo kwa africa duuuu.
 
tembea ujifunz acha kuish kwa kusubir bbc au aljazeera wakuambie , watutsi wapo wengi sana tz kwa kivuli cha makabila ya kiha au wahangaza na wapo ambao wanrudig kwao either burund au rwanda , nmesoma nao watano ambao atleast kila likizo walikuwa wanarud rwanda kusalimia
Mimi ninavyofahamu mimi Watutsi wapo rwanda na Burundi , ila huku Tanzania waliamia kutokana na civil war huko kwao, na Baada ya huku kukaa miaka mingi Tukawapa na uraia wa Tanzania, ila baada ya amani kule kwao wengine wakaaza kurudi kule kwao ndo maana unaweza kukuta dada anaishi huku na kaolewa huku ila kaka yake alisharudi rwanda na anaishi rwanda.
Na wapo ambao wamegoma kabisa kurudi kwao familia mzima.
Na tumewachukulia kama ni NDUGU zetu tuu , tukawaingiza mpaka kwenye system za serikali huku kwetu. Shida ilikuja baada ya mgogoro kati ya Mzee wa msoga na PK.
 
Walikuwepo hata jeshini, kuna siku baada ya mgogoro kt ya kikwete na PK, walitangaza kuwa askari mwenye asili ya rwanda katoroka na baadhi ya siri za jeshi.
Ila sio kweli alitoroka ila alipotelea hukohuko wanakujua wao mwenyewe. Nafikili walitangaza kuogopa familia take watamtafuta.
Ila waliwapeleleza sana , na wengine walitolewa jeshini, na wengine wakaamua tuu kuacha jeshi wao wenyewe, akaona kuwa wanaweza kufanywa vibaya. Yule kanali alisema waliondoka, na hata kwenye taasisi zingine nyeti za serikali, walikuwepo coz tuliwapa uraia na tukawachukulia kama NDUGU zetu, wakaondolewa na wengine kuona aibu wakatoka wenyewe. Sasa hivi jeshini huku wako makini hatari kwenye usajili.
Bro mtu kama ajazaliwa hapa TZ , yani babu yake na bibi yake sio raia wa hapa yani sio asili yao hapa kumtambua ni raisi sana, hata kama anatumia mwamvuli wa kabila flani, watu wakianza kukufuatilia umetokea wapi unadakwa tuu.
4by94
 
Hii javelin ni RPG iliyochangamka maana mercenaries wa Chechnya wanawakimbiza waukraine na wanaziacha hizo jazelin na wanavua uniform kulinda uhai wao
Na Javelini 1 yenyewe inagharimu $178,000 hapo ikiwa na launcher yake.Missle yenyewe Kama yenyewe inauzwa $78,000 kwa kila 1.Sasa kwa nchi ambayo wanajeshi wake wanavaa ndala sijui wata-afford vp vitu vya anasa Kama hivyo.
 
Kama Congo kule watampiganayo Nani?
Daaaaa ila siraha ya kimarekani Ni expensive daaa.
 
Back
Top Bottom