wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄 Nchi maskini za kiafrica zinaweza kumuwekea vikwazo Nani?Tatizo Ni kudhani sababu superpower nations(USA& Western countries) zinaweza kuweka vikwazo Basi na nchi zozote tu zinaweza kuweka vikwazo.Tukiwekeana vikwazo tutauwana njaa, kumbuka tunategemeana kiasi fulani mfano tunapopeleka bidhaa tunavuna pesa zao au wanapotumia miundombinu yetu tunapata Kodi yao.
Wao wanaweka vikwazo sababu ya unatumia Dollar yao,Mifumo ya kibank Ni Yao,Technology Yao, Multinational corporations(MNC) Ni zao Yaani almost kila kitu Ni Chao.
Waafrica vikwazo watakavyoweza kuwekeana Ni vya kuzuia kuuziana Mahindi,Michele,Mihogo,Viazi labda na kutumia bandari zao nje ya hapo tuna Tech. Gani Ya kusema bila hio nchi zitakwama?😄😄