Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Hata wewe kesho sema "nalifuta Taifa la Israel" utashangaa wanatua juu ya Bati.
Kwahiyo tukubaliane taifa feki lililoundwa kwa azimio la UM ndilo linalindwa kwa gharama yoyote?

Israel iliundwa makusudi na wazungu ili tu kulinda maslahi yao pale middle east sio vinginevyo.

Wewe brainwashed ndiyo unadanganywa eti ni taifa teule la Mungu.

Unless uwe unamaanisha Mungu wa Israel ni Marekani na EU utaeleweka.
 
Kwahiyo Uturuki walisubiri Vita vya Lebanon visimame?!

Hapa kuna Coordination kubwa na other agencies eidha kataa au kubali.
 
Ni kweli pale aliyepinduliwa ni ayattolah Khan na putin. Sasa Hezbollah na houth, Hamas watafute chaka jipya.
Putin alishajikata mapema hamjashtuka,,,,hadi Netanyahu kipindi anaona Biden anamzingua akataka akutane na Putin,,,,hawa wameshaingia kwenye makubaliano,, effect ya Trump imeanza,,,,,Putin hawezi akaingilia tena maslahi ya mmarekani na israel huku na wao kuna jambo wanaenda kutekeleza Ukraine, ndo maana Trump alisema akipata madaraka tu na vita ya Ukraine inaisha......Biden alikua ana focus sana na Ukraine kuliko mashariki ya kati kitu kilichomkera Netanyahu kipindi anataka msaada,,,Trump focus yake kubwa ni middle east na ndo aliekubali Jerusalem iwe mji mkuu wa Israel katika awamu yake ya kwanza
 
Kwahiyo Uturuki walisubiri Vita vya Lebanon visimame?!

Hapa kuna Coordination kubwa na other agencies eidha kataa au kubali.
Hawa naona walisubiri hezbollah na hamas wachakazwe na wao waliamshe.....kwa sasa kule Yemen houthi wakae vizuri nao wanaweza wakapelekewa moto
 


Point of correction hawa HTS bado hawajafika Damascus hawa Al-Tanf na Southern Operation room (Hili ni kundi lilio anzishwa dec 6) hawa ndio wameiangusha Damascus

Hawa Southern Operations Room wapo Wadruze, Israel imesema wakikubaliana watawalinda

Nadhani Assad alipuuzia Uasi ungeweze kutokea kila kona ya Syria,
 
Hawa naona walisubiri hezbollah na hamas wachakazwe na wao waliamshe.....kwa sasa kule Yemen houthi wakae vizuri nao wanaweza wakapelekewa moto
Mkubwa wao juzi alikuwa anaishukuru kwa dhati Israel πŸ˜ƒ
 
Mkubwa wao juzi alikuwa anaishukuru kwa dhati Israel πŸ˜ƒ
Wamepigwa changa la macho ambalo hawawezi kuja sahau.....kule Yemen anaweza akatumika Saudi Arabia
 
Nadhani Assad alipuuzia Uasi ungeweze kutokea kila kona ya Syria,πŸ“ŒπŸ”¨
 
Hao waasi mbona wote ni waislam sioni mvaa pampazi na misalaba? Kumbe wasyria wenyewe wanapambania nchi yao
 
Mkuu,hawa Waasi wanaongozwa na Intelligence Agencies kutoka Turkey Israel US ndio maana unaona nidhamu yao ya hali ya juu.

Mmeanza. Watu wa huko arabuni hawawezi fanya jambo lolote bila kuongozwa na USA?
 
Mbona kama sheikh umeandika kwa maumivu makubwa. Hao waasi wanapata training toka kwa wanajeshi wa UK kama hujui. Relax tu wala usipaniki.
 
Ebu nielewesheni nyie wajuzi wa mambo. Inakuwaje prezdent unapinduliwa na waasi wakati military yako wewe, banki kuu yako wewe, central intelligence yako wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…