Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Hiyo mtajua nyinyi ila Taifa tukufu la Israel ukiligusa umekwisha na Waarabu itawachukua muda mrefu kulijua hilo
Sawa lkn usijipe moyo sababu hoja mbili moja Iran iliweza kusambaza missile aina mbalimbali kwa Yemen bila kutegemea Ardhi kwa Ardhi Yemen na Iran zipo mbalimbali sana. Lkn Yemen yupo oky sana kwenye MISSILE kazi ya Iran. Hoja ya pili Hezbollah ilianza kumsumbua israel ata kabla Sadam hussen ajaangushwa. Hii inamana Iran ilikuwa aiwezi kupitisha Ma Boom yake kwenya SYRIA sababu Sadam asingeweza kuruusu uwo mpango pia Tukumbuke Wkt w vita kati ya Iran na Iraq vyamiaka 8 ni SYRIA tu ilikuwa Bega kwa Beda na Iran kwamaana Sadam asingekubali kurusuu Missile zipite ziende Syria. Pamoja na ayo bado Hezbullah alikiwa na nguvu sana kupambana na Israel. Apa nataka niseme Iran inaweza isiwe mwasilika mkubwa zaid ya Russia ambae
Biashara yake ya Gas inaweza kuchacha ikiwa Dill la bomba litasainiwa na mtawala mpya w Syria.
 
Sawa lkn usijipe moyo sababu hoja mbili moja Iran iliweza kusambaza missile aina mbalimbali kwa Yemen bila kutegemea Ardhi
Hivi umesoma Jiografia Ustazi?! Yemen na Iran sio mbali na ni mwendo wa Bahari tu hadi Yemen Majahazi ya Ayatula yanapeleka Makombora kila siku.

Lakini njia ya Syria kwenda Lebanon na Gaza imekatwa rasmi.
 
Kaka Yemen watoe na Hezbollah watoe akuna wakuwapinga aya makundi. Ayo ni Majesh kamili wanaweza kukufanya chochote popote ulipo ndio mana umeona SAUDIA kaomba pooo na Israel nae kaomba pooo kupitia UN ufaransa na marekani akuna majesh yataunganya kwaajili ya ayo makundi mawili jiulize mtatakea nch gani isiogopa kupigwa. Jamaa wana Missile za kwenya popote
 
Usituone poyoyo kama wewe, ndege za RUSSIA hazikushambulia WAASI, hapo UKweli RUSSIA na IRAN wameshindwa kumlinda ASSAD
 
Mossad CIA Turkey Intelligence wamempiga Dulo Assad na Ayatolah.
Hao jamaa ni hatari mno, halafu wana pesa mno. Nilikuwa naangalia msafara wa magari ya waasi ni Toyota hardtop pickup kama mchanga wa bahari. Hiyo pesa ya kununua hayo ma Toyota hardtop pickup imetoka wapi? Pesa ya silaha nyingi mno imetoka wapi? Pesa ya mafuta ya magari ya waasi wa HTS imetoka wapi?



Hao CIA/Mossad wana pesa na hesabu kali mno
 
Hivi umesoma Jiografia Ustazi?! Yemen na Iran sio mbali na ni mwendo wa Bahari tu hadi Yemen Majahazi ya Ayatula yanapeleka Makombora kila siku.

Lakini njia ya Syria kwenda Lebanon na Gaza imekatwa rasmi.
Nimezungumzia Ardhi kwa Ardhi sio Bahari kama Bahari ata Iran anaweza pia kuifikia Lebanon kwa iyoiyo Bahari, nilitaka kuonyesha Iran ategemei Ardhi kuwafikia washilika wake ,
 
Wakuu Bar za Mji Mkuu wa Damascus zimefungua biashara kama kawa watu wanashangilia.
 
Fedha zitalipwa kutoka Wizara ya Oil ya Syria.
Kwahiyo hazijaenda bure.😝
Inawezekana maana kabla ya vita GDP ya Syria ilikuwa inakaribia $67B. Lakini syria ina potential kubwa kutokana na geographical location ilipo.
 
Huyo Waziri mkuu wanampeleke hotelini kwenda kuongoza serikali ya muda.

Waasi wamejifunza ya Iraq. Hawataki kuvunja taasisi zilizopo na badala yake watafanya mabadiliko taratibu.
 
Ndio maana huwa nawaambia hii issue ya ugaidi ni deception tactic ya CIA ,Mossad ,MI6 na intelligence za nchi washirika wao kutimiza malengo yao
Hao wanaoitwa magaidi ni false flag agents na mercenaries WA hizi intelligence agencies
 
YULE KIONGOZI WASASA SI alikubali kunyoa ndevu basi Bar zitaendelea kwawingi na kushamili. Uku walisema mungu mkubwa. Ao Ndio Suni bado na mengine tutayaona.
 
Sawa lakini jua huo ukamili wa Hizbo na Houthi, unatokana na Iran. Hyo vita na saudia Iran alikuwa nyuma houthi.. na hata hizbo pia na israel Iran ndio yuko nyuma ya Hizbo..

Uimara wa hizbo na Houthi unategemea uimara wa Iran
 
Inawezekana huyu wazir mkuu alikuwa mkuda waasi wamemuacha aendelee kushika madaraka Assad alizungukwa na wakuda
 
Hawa naona walisubiri hezbollah na hamas wachakazwe na wao waliamshe.....kwa sasa kule Yemen houthi wakae vizuri nao wanaweza wakapelekewa moto
Houthi inapendwa na raia wote wa Yemen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…