Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na wengi wanapita hapa wakielekea kwenye mageti yao, sasa wanasimama bila sababu, na ukipita unawaona wapo Bize na simu ndani ya gari.
Huwa mnafanya nini na hizo simu?