Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

Dereva makini hazimi gari ghafla.

Gari ama chombo chochote cha moto kinahitaji kuwa silencer kwa muda kidogo ndipo kizimwe.

Hii ni kwa ajili ya matunzo ya injini haswa piston.

Kwa hiyo mimi hukawia kuingia ndani kwa sababu ya kusubiri injini ipoe ndipo nizime na kuingia ndani.

Matumizi ya simu ni coinsidence tu.
 
Dereva makini hazimi gari ghafla.

Gari ama chombo chochote cha moto kinahitaji kuwa silencer kwa muda kidogo ndipo kizimwe.

Hii ni kwa ajili ya matunzo ya injini haswa piston.

Kwa hiyo hukamia kuingia ndani kwa sababu ya kusubiri injini ipoe ndipo nizime na kuingia ndani.

Matumizi ya simu ni coinsidence tu.
Hilo nakataa, kwanini asiende ndani kwake ndyo aweke gari yake silencer?

Yani asimame katikati ya barabara au mbele ya mageti ya watu?
 
Dereva makini hatumii simu huku anaendesha gari, bali anapaki gari na kuanza kutumia simu.

Hiyo ndiyo tabia yangu Mimi. Simu ikiita huwa ninatafuta parking ninaegesha kwa dharura then ninasikiliza simu.

Kwa hiyo punguza kufuatilia maisha ya watu.
 
Dereva makini hasimamishi gari katikati ya barabara, tena zikiwa zimebaki hatua chache tu kufika mlangoni kwake.

Huwenda kila mtu ana sababu yake, na mimi nimeuliza kujua sababu mbalimbali.

Sifuatilii maisha ya mtu, hawa ni majirani zangu na kila siku tunaonana.
 
Back
Top Bottom