Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Usalama wa mtu binafsi na mazingira. Unaweza kunyooka mojakwamoja kumbe wasiojulikana wamekutangulia. Kusimama nje ya eneo lako kwa muda mfupi kunaweza kukusaidia kunotice utofauti wa mazingira kwa siku hiyo.Usalama wa chombo au usalama wa mtu binafsi? Fafanua mkuu