Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Jibanze getini mchungulie mumeo vizuri utagundua sababuNgoja wababa wenye magari wa JF waje.
Ku clear mind au ku clear mambo yaliyomo kwenye simu?Ni ku clear mind kabla sijaingia ndani hii huwa inakuja automatically
Hiyo sio sababu, mbona magari wengi wanayo tuTunaringishia, utajuaje sasa kama gari nilalo?
Wewe umesema ukwelina block malaya wangu wote nafuta sms za mademu na call log zote
nikiingia home kama malaika vile
Mind,binafsi naishi pekee na bado hunichukua angalau 5 mns kushuka kwenye pikipiki na kuweka ndaniKu clear mind au ku clear mambo yaliyomo kwenye simu?
pikipiki😁😁😁😁 hauko siriasMind,binafsi naishi pekee na bado hunichukua angalau 5 mns kushuka kwenye pikipiki na kuweka ndani
Bob acha kufuatilia maisha ya watu, huna kazi? muda wote kuchunguza kila mwenye gari akifika mlangoni kwake anafanya nini kwenye simu?Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na wengi wanapita hapa wakielekea kwenye mageti yao, sasa wanasimama bila sababu, na ukipita unawaona wapo Bize na simu ndani ya gari.
Huwa mnafanya nini na hizo simu?
Sawa Mkuu, lakini huwa unasimama katikati ya barabara au?Mind,binafsi naishi pekee na bado hunichukua angalau 5 mns kushuka kwenye pikipiki na kuweka ndani
Mimi sio kama nawachunguza mkuu, ila imekuwa kawaida nikipita jioni nakutana na wajomba wamesimama, na wengine tunapeana salamu kabisa...Bob acha kufuatilia maisha ya watu, huna kazi? muda wote kuchunguza kila mwenye gari akifika mlangoni kwake anafanya nini kwenye simu?
Hapana nje ya nyumba bado sijajenga uzioSawa Mkuu, lakini huwa unasimama katikati ya barabara au?
Maana hawa wazee naonaga wanasimama barabarani kabisa
Boda bodapikipiki😁😁😁😁 hauko sirias
Basi pata nafasi muulize mmoja kesho halafu uje utupe mrejeshoMimi sio kama nawachunguza mkuu, ila imekuwa kawaida nikipita jioni nakutana na wajomba wamesimama, na wengine tunapeana salamu kabisa...
Sasa huwa najiuliza kwanini wengi wao wanafanya hivyo, lazima ipo namna
Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na wengi wanapita hapa wakielekea kwenye mageti yao, sasa wanasimama bila sababu, na ukipita unawaona wapo Bize na simu ndani ya gari.
Huwa mnafanya nini na hizo simu?
Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na wengi wanapita hapa wakielekea kwenye mageti yao, sasa wanasimama bila sababu, na ukipita unawaona wapo Bize na simu ndani ya gari.
Huwa mnafanya nini na hizo simu?
Mmbea wa mtaa.Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na wengi wanapita hapa wakielekea kwenye mageti yao, sasa wanasimama bila sababu, na ukipita unawaona wapo Bize na simu ndani ya gari.
Huwa mnafanya nini na hizo simu?
Sawa mkuu nitajaribu hiloBasi pata nafasi muulize mmoja kesho halafu uje utupe mrejesho