Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Unaogopa nini tena ? Jiandae baadae jioni nakuja kukuchukua😂😂😂 mjomba mi naogopa 😭😭
sawa mjomba angu utakuja sangapi 🥰🥰Unaogopa nini tena ? Jiandae baadae jioni nakuja kukuchukua
Kwa hiyo Chogo ndo unadeka kwa mjomba ako, ukapitiwe upewe muhogo wa kuchoma sijui wa kukaanga, hehehehesawa mjomba angu utakuja sangapi 🥰🥰
😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰 mhhh we acha tu apa nishalowaaah 😭😭😭😂😂 tena usiombe hogo litiwe chachandu 😭😭 unaweza ukaacha ndalaKwa hiyo Chogo ndo unadeka kwa mjomba ako, ukapitiwe upewe muhogo wa kuchoma sijui wa kukaanga, hehehehe
Sababu zipi zinakufanya usimuamini?Kwa hiyo NAWE unamtetea, dah kazi ipo Kwa kweli
Saa 11 nitakuletea na zawadi eehUnaogopa nini tena ? Jiandae baadae jioni nakuja kukuchukua
Mjomba jamaniSaa 11 nitakuletea na zawadi eeh
Subiri nimalizane na mamako hapa gheto kisha nakuijia,mida hii mamako nimemkunja ili apate hela ya kuwanunulia chakula wewe na babako.kumbe mashog mnatumiaga pesa na mnakuja?😁
Wa Jang'ombe??Mjomba nimemiss muhogo
mtam sanaWa Jang'ombe??
Naimani na SA utakuwa umeangusha mjengo kule tukiacha wa Mbeya mjini mtoto wa Isanga 😊Wanaojenga nyumba wakiwa SA ni wanaojitambua kweli maana kushika rand sio mchezo mazee...
Basi umeshinda mkuuSababu zipi zinakufanya usimuamini?
Basi umeshinfSababu zipi zinakufanya usimuamini?
Sija zungumza muonekano ila Kwa afrika kusini invojulikana ukisha MUONA mtu wa hivi lazima awe ni msumbuaji kaka kweli huwezi mjaji mtu Kwa muonekano ila condition ya kumuua mtu kisa nyumba ni swala fikirishi hivi wewe unaweza mjua baba Ako kisa NYUMBA tuanzie hapoMkuu ili umiliki pesa inakupasa uwe na muonekano Gani?
Tuna taifa la wajinga sana, hata hapa bado Kuna watu wanaaminisha kuwa ni kweli kijana alikua ana tuma pesa sijui tukoje tuNdugu zake walisema alikua anaishi SA na mjomba wake, wakashindwana akamrudisha, akarudi na gia ya kupewa nyumba ya urithi eti babu yake alimuachia, sasa hayo ya kutuma pesa sijui yalitokea wapi yarabi
Kaka huo muonekano ukichukua tahadhari walau inakua mahali salama jiulize mbona kauua bro kumuua mtu kisa nyumba basi nawe unaeza muuaa mze kisa mali sasaNdio maana mnatapeliwa kwa kuangalia muonekano wa mtu.