Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

Ww unamuhukumu kwa sura? I dont speak at mauaji aliyofanya but yeye kwenda kutafuta riziki nchi nyingine?
Ona sasa mi nimesema ni muuaji kisa kaenda tafuta riziki nchi nyingine mkuu? Nimezungumzia life style alikua akiishi afrika kusini ndo mana nime weka video na si picha kaka kia muelewa basi
 
Wewe unaona nini kinashindikana kumuua baba yake?
 
Nimekaa hapa Kuna comment nazifatilia sijui wameamia wapi😁 zimenishtua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…