Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.

Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
 
leta picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…