Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.

Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
Ni fahari ya mbwa kukalia mkia wake .Kumentain ndio kazi spare zake ni ghali sana mafundi wetu wako nyuma kila kitu ni computer si mchezo wengi sana zitawashinda barabara nazo ni kimembe.
 
Nyi jamaa waongo sana unamdanganya nani sasa hizi ngoma tupo nazo miaka nenda rudi..
 
Ford Ranger Bi Turbo inaiacha mbali sana na Ford Ranger Raptor ila mwanzo ilikua inatamba sana hiyo ngoma TDI sio sasa hivi imetafutiwa dawa...
Unazungumza kwa ushahidi wa kitaalamu au kwa hisia mzee wa Mwanjelwa? tupe mfanano wa kitaalamu wa hizi ndinga mbili tujue ukweli hasa kiwango cha juu cha HP kwa kila mojawapo hapo
 
Ni fahari ya mbwa kukalia mkia wake .Kumentain ndio kazi spare zake ni ghali sana mafundi wetu wako nyuma kila kitu ni computer si mchezo wengi sana zitawashinda barabara nazo ni kimembe.
Kabisa. Imagine mafundi maiko wanavyobadilisha betri kwenye passo watataka na kwenye mjerumani wabadilishe kwa utaratibu huohuo bila kufahamu kwamba kuna usajili wa betri na specific procedures unapochange betri mpya au kuflush tx fluid anataka amwage oili kindezi tu kumbe kuna spesho prosija, vipuri vya magari mengi ya kijerumani/ulaya vinataka hata uelewa wa ICTs maana kuna hata programming sasa mafundi wa mwenge haya mambo mageni, zetu ni DCM Dayyana Clipper za mbagala haya madude watengenezege gereji za masaki huko
 
1.) Umesema gari za ulaya zina ulaji mzuri wa mafuta. Kwamba Audi Q6 ya ulaya, tuseme labda yenye CC 3000, ile mafuta kidogo kuliko Premio ya Japan yenye CC 1450?

2.) Umesema usalama, kwamba BMW ya ulaya labda, yenye Airbags, inakuwa salama kuliko Toyota ya Japan yeye Airbags pia? Na ABS na vinginevyo?

3.) Umesema zinaokoa muda, kwamba zitaenda kasi zaidi ya Japan, zaidi ya 180km/hr ambayo ndio limit ya Japanese? Kwa barabara zipi?
1) Kufananisha Q6 na kituko hapa sitakujibu, leta comparison inayoeleweka.

2) Gari za Mjerumani/Ulaya zina kiwango cha uhandisi cha juu mnoo "superior engineering", zina uwezo mkubwa sana huwezi zifananisha na hizi za Japan pafomansi yake ni ya standard gauge, na waundaji wa gari za Ulaya kujibu swali lako wanazingatia viwango vya hali ya juu vya usalama hataikipiga buyu gari ya ulaya uwezekano wa kupona ni mkubwa kuliko haya magari yenu ya dini ya toyota.

3) Sasa wewe utafananisha Mnyama Audi Q7 au BMW X5 'M' na gari yako landcruiser au tako la nyani ya kijapani?! anakupita morogoro anaenda kunywa supu mikumi mjini pale anasoma kitabu kwa masaa mawili halafu wewe ndo unatokezea. High performance SUV ya kijerumani kv Audi Q7, Q5, BM au Benz ikimpata dereva mzuri unaweza kuhisi imekupita risasi. Usifananishe mashine za kijerumani na vituko, heshimu uhandisi wa Ulaya wa ndinga uliotukuka.
 
Hayatengenezwi tena
haya ma SUV yenye sura ya jeshi waliishia 2011, ila wana musso pick up imesimama sana, hiyo hapo
Ssangyong_Rexton_Sports_Q200_FL_black_(1).jpg
 
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.

Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za maana.
Mengi ya kizamani
Ndinga mpya za kisasa zinatoka China 🇨🇳
 
Unazungumza kwa ushahidi wa kitaalamu au kwa hisia mzee wa Mwanjelwa? tupe mfanano wa kitaalamu wa hizi ndinga mbili tujue ukweli hasa kiwango cha juu cha HP kwa kila mojawapo hapo
Mkuu Nyadikwa sio hisia hiyo Raptor ya mbali sana nimetoka kumuachia dereva muda huu hapo Soweto analeta daslm Wildtrack X imetoka SA ilikua na 30km kwenye Cluster ikiwa Bruma imefika Mwanjelwa na 3003 Km hii mashine nayo ni Bi Turbo namuheshimu sana Ford Ranger...
Mambo zake hii gari ntazituma humu imetengenezwa kwa Fibre body yake ni nyepesi sana ila ina Balance ya kutosha na mwendo upo...Wlidtrack X ya 2024..
 
1) Kufananisha Q6 na kituko hapa sitakujibu, leta comparison inayoeleweka.

2) Gari za Mjerumani/Ulaya zina kiwango cha uhandisi cha juu mnoo "superior engineering", zina uwezo mkubwa sana huwezi zifananisha na hizi za Japan pafomansi yake ni ya standard gauge, na waundaji wa gari za Ulaya kujibu swali lako wanazingatia viwango vya hali ya juu vya usalama hataikipiga buyu gari ya ulaya uwezekano wa kupona ni mkubwa kuliko haya magari yenu ya dini ya toyota.

3) Sasa wewe utafananisha Mnyama Audi Q7 au BMW X5 'M' na gari yako landcruiser au tako la nyani ya kijapani?! anakupita morogoro anaenda kunywa supu mikumi mjini pale anasoma kitabu kwa masaa mawili halafu wewe ndo unatokezea. High performance SUV ya kijerumani kv Audi Q7, Q5, BM au Benz ikimpata dereva mzuri unaweza kuhisi imekupita risasi. Usifananishe mashine za kijerumani na vituko, heshimu uhandisi wa Ulaya wa ndinga uliotukuka.
Jibu hoja aisee, acha porojo.

1.) Swala ni ulaji mafuta, nimehoji kama ya Ujerumani ina Cc 3000 nanya Japan ina cc1500, bado ya Japan itakula zaidi mafuta?

2.) Hiyo superior technology katika usalama ni ipi? Be specific kama mimi nilivyotaja airbags na ABS. Taja hiyo technology specifically, labda Traction control tuseme Japan hazina? Acha blaa blaa..

3.) Kuhusu hiyo speed hata kama inafika 240kph, unatembelea kwa barabara ipi? Hapa bongo ukifika hata hiyo 180kph ya Japan basi andika wosia kabisa..
 
Umehoji wewe kama nani. We baki na maboksi yako ya Japan simple. Sifanyi argument na mjinga.
 
Back
Top Bottom